Hypersonic WMD
JF-Expert Member
- Apr 11, 2024
- 1,337
- 1,876
basi ujaelewa anaepigania uhuru nani??Mgogoro halisi hausemwi bali vinasemwa visingizio na vijisababu vidogovidogo tu na binafsi nimeelewa bila uhuru wa hiyo kivu vita haviishi
kama ccmu wanavyozuia watu kujihusisha na siasa kwa kuwateka na kuwaua pia Mobutu alifanya hv hali iliyopelekea watu kutojali lolote kuhusu nchi yao zaid ya wao kula na kulala basi , hivyo yeyote atakae mpa uhakika wa kula bas anamwabudu bila kujal ni rafik au adui wa nchi yao , hata kesho Rwanda akisema anakuja Tz atafanikiwa sababu uzalendo Tz umeisha miaka ming na muuaji wa Uzalendo ni ccmu kwa kuwatenga wananchi mambo yote ya kisiasa kwa kuwatisha kuua au kuteka iwapo utajiingiza kweny siasa kwa mlengo wa kizalendoDRC kwanini hawana jeshi imara licha ya kuwa na raia zaidi ya 100 million?
Kagame mimi namuelewa sana kwasababu najua history Rwanda na maziwa makuu.sasa unanukuu nn mtu anasema hajui vikos vyake havipo??
Yaan anajua vyoote kasoro Vikosi vya jeshi lake?
we ni gaidiKagame mimi namuelewa sana kwasababu najua history Rwanda na maziwa makuu.
Zaire ndio iliyoanza kuingilia mambo ya ndani ya Rwanda baada kutuma Majeshi yake kwenda kumchangia RPF sasa mnalialia nini?!
we ni shetaniKagame mimi namuelewa sana kwasababu najua history Rwanda na maziwa makuu.
Zaire ndio iliyoanza kuingilia mambo ya ndani ya Rwanda baada kutuma Majeshi yake kwenda kumchangia RPF sasa mnalialia nini?!
we ni liuajiKagame mimi namuelewa sana kwasababu najua history Rwanda na maziwa makuu.
Zaire ndio iliyoanza kuingilia mambo ya ndani ya Rwanda baada kutuma Majeshi yake kwenda kumchangia RPF sasa mnalialia nini?!
si uende kwenu kigali mnakokunywa damu za watu! kwann unakuja kwetu, shetan wwKagame mimi namuelewa sana kwasababu najua history Rwanda na maziwa makuu.
Zaire ndio iliyoanza kuingilia mambo ya ndani ya Rwanda baada kutuma Majeshi yake kwenda kumchangia RPF sasa mnalialia nini?!
R u serious kweli?Kagame katika mahojiano na CNN kasema kuna Migodi ya Coltan Nchini Rwanda na kama mwandishi wa CNN yuko tayari waende akamuonyeshe sasa huyu Kayumba labda ana chuki binafsi na Kagame.
Kweni Coltan iko Congo pekee au Zahabu ziko Kongo pekee...?
Wewe utakuwa ni Interahamwe Kagame alizuia mpango wenu wa kumaliza Watutsi, sijawahi kukutana na Mtu mwenye chuki hivi hapa JF.si uende kwenu kigali mnakokunywa damu za watu! kwann unakuja kwetu, shetan ww
imagine jitu linatetea mtu alioua watu milion 6!
et PK mimi namuelewa!! unachomuelewa mwanaume mwenzio nn wewe?? au wanakukaza?
Sijawahi kuia hata Nzi.we ni liuaji
Mimi au Kagame?! Hata Nigeria wameanza kuchimba Coltan Columbite tantalite haijali mipaka ya Wakoloni.R u serious kweli?
KAgame wote tunajua kama anaishi kwa kuiba na kuua, ajabu wewe kuamini huo ujinga wake kama ana coltan rwanda, raisi ambae anasema hajui kama wanajeshi wake wapo congo huo si mwendawazimuMimi au Kagame?!
Unaongelea juu juu mzee. Hiv unajua jamaa alikuwa mkuu wa ujasus na alikuwa mkuu wa majeshi.Kagame katika mahojiano na CNN kasema kuna Migodi ya Coltan Nchini Rwanda na kama mwandishi wa CNN yuko tayari waende akamuonyeshe sasa huyu Kayumba labda ana chuki binafsi na Kagame.
Kweni Coltan iko Congo pekee au Zahabu ziko Kongo pekee...?
kwenye wauaji kua watu wawiliSijawahi kuia hata Nzi.
Kweni yeye kusema kuwa kuna Madini ya Columbite na Tantalite kwanini wewe unakataa? Je hayo Madini yako Kongo tu?!👈 naomba majibu tafadhali.KAgame wote tunajua kama anaishi kwa kuiba na kuua, ajabu wewe kuamini huo ujinga wake kama ana coltan rwanda, raisi ambae anasema hajui kama wanajeshi wake wapo congo huo si mwendawazimu
chuki mnazizalisha nyinyi kwa roho zenu za kishetan! nenda huko kongo mnavochukiwa!!Wewe utakuwa ni Interahamwe Kagame alizuia mpango wenu wa kumaliza Watutsi, sijawahi kukutana na Mtu mwenye chuki hivi hapa JF.
Kwanza lazima ujue kwanini kaikimbia Rwanda na kwenda kuishi uhamishoni.Unaongelea juu juu mzee. Hiv unajua jamaa alikuwa mkuu wa ujasus na alikuwa mkuu wa majeshi.
Shetani ni yule alionzasha Genocide yaani Interahamwe halafu akakimbila DRC na sasa anafuatwa huko huko.chuki mnazizalisha nyinyi kwa roho zenu za kishetan!
Yako Rwanda tangu lini dunia nzima inajua rwanda haina hayo madini!!Kweni yeye kusema kuwa kuna Madini ya Columbite na Tantalite kwanini wewe unakataa? Je hayo Madini yako Kongo tu?!👈 naomba majibu tafadhali.
Upande wa Majeshi ya Rwanda kuwa Kongo Kagame anaogea kikubwa labda uwe mtoto ndio hutamuewa.
Madini ya coltan yanapatikana kwa wingi congo ,upande wa rwanda kuna coltan kidogo sana , anachofanya kagame ni kuiba coltan congo na kuexport akiuliza katoa wapi anadai rwanda ,wakati ukweli ni kwamba mgodi wake hautoi coltan kiasi kile ,na yeye kwa sasa ndio largest exporter wa coltan level moja na congo, anapeleka marekani ndio hao wanaompa kiburi kwa sababu anawauzia kwa bei ndogo , kagame ni shetaniKweni yeye kusema kuwa kuna Madini ya Columbite na Tantalite kwanini wewe unakataa? Je hayo Madini yako Kongo tu?!👈 naomba majibu tafadhali.
Upande wa Majeshi ya Rwanda kuwa Kongo Kagame anaogea kikubwa labda uwe mtoto ndio hutamuewa.