Kayumba Nyamwasa: Rwanda imekuwa ikiiba madini ya Congo kwa muda mrefu sana

Shetani ni yule alionzasha Genocide yaani Interahamwe halafu akakimbila DRC na sasa anafuatwa huko huko.

Waswahili tunasemaje akuanzae mmalize.
Aliyeanzisha genocide mwenyewe ndo kiongozi huyo huyo alowadanganya kastopisha!
Wajinga ndio waliwao
 
unajisumbua huwezi muelimisha gaidi aache ugaidi na hali upo kwene damu
 
Yako Rwanda tangu lini dunia nzima inajua rwanda haina hayo madini!!
Kagame kawaalika watu waende wakaone Mgodi wa Madini ya Coltan sasa wewe Mhutu uliyejificha kwenye Waha unabisha.
 
Madini ya coltan yanapatikana kwa wingi congo ,upande wa rwanda kuna coltan kidogo sana
Kwahiyo unakiri kwamba Rwanda kuna Coltan sasa ni kwanini mnamshambulia Kagame kusema kuna mgodi wa Coltan Rwanda?!
 
unajisumbua huwezi muelimisha gaidi aache ugaidi na hali upo kwene damu
Kagame ni Kiongozi mfano wa kuigwa kubali kataa je anamadhaifu?! Hakuna Binadamu asiyekuwa na madhaifu.

Zaire ndio ilikuwa ya kwanza kuingilia mambo ya ndani ya Rwanda Mobutu alituma Majeshi kutoka Zaire kwenda kuwazuia Wanyarwanda wasirudi kwao Rwanda na Rwanda nayo ikaamua kupeleka Vita Kongo.

Karma imefanya kazi yazi yake inavyotakiwa.
 
"Lakini, kama unataka kutatua tatizo la ukanda, huwezi kukomboa watusti, kwa kuanzisha vita kwa watu wengine, kutafuta suruhu la watutsi, haimaanishi unatafuta suruhu la kuzuia genocide"

POINT YA MAANA SANA.
 
Nyamwasa kamaliza Kila kitu...

imhotep JokaKuu Mkunazi Njiwa
 
Inafikirika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…