Hivi wewe na Kayumba anayejua mambo ya Siri ya Kagame ni nani!?Kagame katika mahojiano na CNN kasema kuna Migodi ya Coltan Nchini Rwanda na kama mwandishi wa CNN yuko tayari waende akamuonyeshe sasa huyu Kayumba labda ana chuki binafsi na Kagame.
Kweni Coltan iko Congo pekee au Zahabu ziko Kongo pekee...?
DRC ni nchi haijawahi pata raisi mwenye maarifa na akili timamu. DRC has everything on place. Wampe nchi ile Katumbi.DRC kwanini hawana jeshi imara licha ya kuwa na raia zaidi ya 100 million?
Hivi wewe na Kayumba anayejua mambo ya Siri ya Kagame ni nani!?
Nyie ndo Watutsi mliojificha Tanzania hapa kwa mission maalumu.
Nimemsoma K.Nyamwasa......