crankshaft
JF-Expert Member
- Jun 12, 2019
- 1,427
- 3,438
Kazakhstan, nchi ambayo 70% ya raia wake ni waislam, imepiga marufuku hijab mashuleni kwa walimu na wanafunzi nchini humo.
Raia Tokayev wa nchi hiyo alinukuliwa akisema ''Kazakhstan ni nchi isiyo na dini. Shule ni mahali pa kusoma na sio ku practice mambo ya dini. Tuache watoto wasome, watajiamulia mambo yao wenyewe watakapokuwa wakubwa.''
Inaripotiwa kuwa karibu wasichana 150 wameacha shule katika Jimbo moja nchini humo kutokana na katazo hilo.
DW