Kazakhstan, nchi yenye waislam wengi yapiga marufuku hijab mashuleni

View attachment 2791064

Kazakhstan, nchi ambayo 70% ya raia wake ni waislam, imepiga marufuku hijab mashuleni kwa walimu na wanafunzi nchini humo.

Raia Tokayev wa nchi hiyo alinukuliwa akisema ''Kazakhstan ni nchi isiyo na dini. Shule ni mahali pa kusoma na sio ku practice mambo ya dini. Tuache watoto wasome, watajiamulia mambo yao wenyewe watakapokuwa wakubwa.''

Inaripotiwa kuwa karibu wasichana 150 wameacha shule katika Jimbo moja nchini humo kutokana na katazo hilo.

DW
Lakini ukiangalia ni ujinga kuvaa hijab, unakuta katoto ka miaka 3 nako kanavalishwa magunia sasa sijuwi ili iweje.
 
Nimezaa na mwislamu, wakwe zangu waislam na mke wangu sijambadili dini. Tatizo umelishwa chuki unakuja hapa kusambaza ulichofundishwa.
Katika uislam hakuna hivyo. Eti umezaa na muislam? Hakuna ndoa kati ya mkiristo na muislam. Na huyo mtoto kwa mujibu wa uislam sio wako umezini tu, huyo mtoto wa mwanamke. Hao unaowaita wakwe kwa mujibu wa uislam sio wakwe. Uislam haufati matamanio ya mtu ni sheria. Uislam sio Chama cha mpira wa miguu mwenyekiti anaweza kubadili katiba.
Uislam haumungunyi maneno.
 
Lakini ukiangalia ni ujinga kuvaa hijab, unakuta katoto ka miaka 3 nako kanavalishwa magunia sasa sijuwi ili iweje.
Umeandika nini? Mbona wazee wa wakiristo wanawake hawatembei wakiwa na vimini? Wanajistiri tena kwa kanga na hijab. Hijab ni heshima; mtoto mdogo wa kiislam anaheshima
 
Huko Asia ya kati wameona ni upumbavu kuabudu utamaduni wa kiarabu wakati wana utamaduni wao.

Hayo mambo ya kipumbavu ya kuabudu tamaduni za kigeni tuachiwe sisi waafrika ndio watu wasiojitambua ambao hadi majina ya kigeni tunaamini ni sehemu ya ibada. Waafrika bure kabisa.
Inaonekana mwanamke akivaa hijab unaumia. Kama upo tz inaonekana unaumia mara 100. Ukitizama TV taarifa ya habari roho inaumia
 
Tatizo sio nchi. Quran inasemaje? Hata Vatican imeruhusu ushoga. Jee wakiristo waunge mkono?
Ushoga katika Uislam adhabu yake ni kituko... Wanakataza ila kosa lake wanaume hao watapigwa na Ndala wanatengwa wakishajirekebisha wakaacha ushoga basi wanasamehewa.
Qoran Chapter An-Nisa verse 16

Kwa wanawake kwa wanawake wakisagana Adhabu yao ni kufungiwa ndani hadi mauti iwakute... ule uongo wa Waislam kuwa ukizini unapigwa mawe hadi ufe ni wametunga nahaswa waliiga kwa Wayahudi.

An-Nisa Chapter verse 15

Uislam umejaa Uongo tizama hizi Tafsiri wasomi wa Dini wakubwa wa Kiislam wengine wanadanganya wengine wanachana live Sex ya Men to Men ndio tafsiri halisi na adhabu yake ni kupingwa na ndala yaani choko adhabu ni kupingwa na malapa??
Abdu Haleem kasema Two Men

SURAH AN-NISA AYAT 16 (4:16 QURAN) WITH TAFSIR​

west⠀Prev Ayat
Next Ayat⠀east
Surah An-Nisa >> Currently viewing Surah An-Nisa Ayat 16 (4:16)

SURAH AN-NISA AYAT 16 IN ARABIC TEXT​

وَٱلَّذَانِ يَأۡتِيَٰنِهَا مِنكُمۡ فَـَٔاذُوهُمَاۖ فَإِن تَابَا وَأَصۡلَحَا فَأَعۡرِضُواْ عَنۡهُمَآۗ إِنَّ ٱللَّهَ كَانَ تَوَّابٗا رَّحِيمًا
Wallazaani ya’tiyaanihaa minkum fa aazoohumaa fa in taabaa wa aslahaa fa a’ridoo ‘anhumaaa; innal laaha kaana Tawwaabar Raheema

ENGLISH TRANSLATION​

Here you can read various translations of verse 16
SAHIH INTERNATIONAL
And the two who commit it among you, dishonor them both. But if they repent and correct themselves, leave them alone. Indeed, Allah is ever Accepting of repentance and Merciful.
YUSUF ALI
If two men among you are guilty of lewdness, punish them both. If they repent and amend, Leave them alone; for Allah is Oft-returning, Most Merciful.
ABUL ALA MAUDUDI
Punish both of those among you who are guilty of this sin, then if they repent and mend their ways, leave them alone. For Allah is always ready to accept repentance. He is All-Compassionate.
MUHSIN KHAN
And the two persons (man and woman) among you who commit illegal sexual intercourse, punish them both. And if they repent (promise Allah that they will never repeat, i.e. commit illegal sexual intercourse and other similar sins) and do righteous good deeds, leave them alone. Surely, Allah is Ever the One Who accepts repentance, (and He is) Most Merciful.
PICKTHALL
And as for the two of you who are guilty thereof, punish them both. And if they repent and improve, then let them be. Lo! Allah is ever relenting, Merciful.
DR. GHALI
And (as for) the two of you who come up with (an obscenity), then hurt them both. Yet, in case they (both) repent and act righteously, then veer away from them (both); surely Allah has been Superbly Relenting, Ever-Merciful.
ABDUL HALEEM
If two men commit a lewd act, punish them both; if they repent and mend their ways, leave them alone- God is always ready to accept repentance, He is full of mercy.
MUHAMMAD JUNAGARHI
تم میں سے جو دو افراد ایسا کام کر لیں انہیں ایذا دو اگر وه توبہ اور اصلاح کر لیں تو ان سے منھ پھیر لو، بے شک اللہ تعالیٰ توبہ قبول کرنے واﻻ اور رحم کرنے واﻻ ہے

QURAN 4 VERSE 16 EXPLANATION​

For those looking for commentary to help with the understanding of Surah An-Nisa ayat 16, we’ve provided two Tafseer works below. The first is the tafseer of Abul Ala Maududi, the second is of Ibn Kathir.
ALA-MAUDUDIIBN-KATHIR

ALA-MAUDUDI​

(4:16) Punish both of those among you who are guilty of this sin, then if they repent and mend their ways, leave them alone. For Allah is always ready to accept repentance. He is All-Compassionate.[26]

26. In these two (verses 15-16)the first, preliminary directives for the punishment for unlawful sexual intercourse are stated. The first verse deals with women. The punishment laid down was to confine them until further directives were revealed. The second verse (i.e. 16) relates to both sexes. The injunction lays down that they should be punished – that is, they should be beaten and publicly reproached. Later, another injunction was revealed see (Surah Nur, ayat 2) which laid down that both the male and female should be given a hundred lashes. These injunctions are necessarily of a preliminary nature since the people of Arabia were neither used to obeying the orders of any established government, the verdicts of any courts of law nor to following any legal code; it would therefore have been unwise to try to force acceptance of a penal code upon them so soon after the establishment of the Islamic state. In due course, the punishments for unlawful sexual intercourse, for slanderous accusations of unchastity against women, and for theft were laid down in their definitive form and served as the basis of that detailed penal code which was enforced by the Prophet (peace be on him) and the Rightly-Guided Caliphs.
The apparent difference between the contents of the two verses led al-Suddi to the misconceived belief that the first verse lays down the punishment for married women, and the second that for unmarried men and women. This is a tenuous explanation unsupported by any serious evidence and argument. Even less convincing is the opinion expressed by Abu Muslim al-Isfahani that the first verse relates to lesbian relations between females, and the second to homosexual relations between males. It is strange that al-Isfahani ignored the basic fact that the Qur’an seeks merely to chart a broad code of law and morality and hence deals only with fundamental questions. It is inconsistent with the majestic style of the Qur’an to discuss secondary details which have been left to people to decide through the exercise of their legal judgement. It is for this reason that when the problem of fixing a punishment for sodomy came up for consideration after the time of the Prophet (peace be on him), none of the Companions thought that the above-mentioned verse contained any relevant injunction.

Hii chini Kiswahili ndio wamepotezwa wasijue kitu majinga..

4:16

Sahih International

Muhsin Khan

Pickthall

Yusuf Ali

Shakir
And as for the two who are guilty of indecency from among you, give them both a punishment; then if they repent and amend, turn aside from them; surely Allah is Oft-returning (to mercy), the Merciful.
Dr. Ghali

Swahili
Na wawili kati yenu wafanyao hayo waadhibuni. Na wakitubia wakatengenea basi waacheni. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mwingi wa kupokea toba, Mwenye kurehemu.
 
Wewe kweli mwehu. Hujui hata umeandika nini
 
Huko Asia ya kati wameona ni upumbavu kuabudu utamaduni wa kiarabu wakati wana utamaduni wao.

Hayo mambo ya kipumbavu ya kuabudu tamaduni za kigeni tuachiwe sisi waafrika ndio watu wasiojitambua ambao hadi majina ya kigeni tunaamini ni sehemu ya ibada. Waafrika bure kabisa.
ukijiita jina la babu yako wanasema laana ila majina ya wageni ndo yana baraka ushenzi mtupu
 
Inaonekana mwanamke akivaa hijab unaumia. Kama upo tz inaonekana unaumia mara 100. Ukitizama TV taarifa ya habari roho inaumia
Thamini utamaduni wako bwana, mbona wewe hawajaja kunakili utamaduni wako, waafrika tabu sana.

Yaani hadi mtu anakuambia utumie jina lake eti ndio uonekane mnyoofu mbele za Mungu eti na wewe unaamini na kukubali eti ni dhambi kuitwa jina la kiafrika. Yaani sisi waafrika ni watu wa hovyo sana.
 
View attachment 2791064

Kazakhstan, nchi ambayo 70% ya raia wake ni waislam, imepiga marufuku hijab mashuleni kwa walimu na wanafunzi nchini humo.

Raia Tokayev wa nchi hiyo alinukuliwa akisema ''Kazakhstan ni nchi isiyo na dini. Shule ni mahali pa kusoma na sio ku practice mambo ya dini. Tuache watoto wasome, watajiamulia mambo yao wenyewe watakapokuwa wakubwa.''

Inaripotiwa kuwa karibu wasichana 150 wameacha shule katika Jimbo moja nchini humo kutokana na katazo hilo.

DW
Hiyo ni sahihi kabisa hata hapa tanzania marais wapuz waislamu ndiyo wanaoleta hizi mambo za dini mashuleni hata somo la dini kwenye mashule lipigwe marufuku ipo siku wanafunzi wakristo na waislamu watakuja kuchinjana kisa dini

Sent from my SM-A325F using JamiiForums mobile app
 
Huko Asia ya kati wameona ni upumbavu kuabudu utamaduni wa kiarabu wakati wana utamaduni wao.

Hayo mambo ya kipumbavu ya kuabudu tamaduni za kigeni tuachiwe sisi waafrika ndio watu wasiojitambua ambao hadi majina ya kigeni tunaamini ni sehemu ya ibada. Waafrika bure kabisa.
Mambo mengine tunayakuza tu tu mkuu, Unataka kuniambia hizo jamii zengine kama wazungu na huko Asia kila jamii inaabudu kwa tamaduni zao?
 
Tatizo sio nchi. Quran inasemaje? Hata Vatican imeruhusu ushoga. Jee wakiristo waunge mkono?
Unamjua alieandika hiyo quran unajua alikua na nia gani? Mambi ya kuletewa yatabaki kuwa ya kuletewa wakiamua leo kwao wasivae kanzu na afrika tutaacha kuvaa kanzu naona hatabkwa papa kule waafrika wanabaguliwa hio ni kuonyesha dini haikua kwaajili yetu zaidi ilikuja ili kutulainisha tuwe watumwa vizuri
 
Back
Top Bottom