Kazakhstan, nchi yenye waislam wengi yapiga marufuku hijab mashuleni

Kazakhstan, nchi yenye waislam wengi yapiga marufuku hijab mashuleni

View attachment 2791064

Kazakhstan, nchi ambayo 70% ya raia wake ni waislam, imepiga marufuku hijab mashuleni kwa walimu na wanafunzi nchini humo.

Raia Tokayev wa nchi hiyo alinukuliwa akisema ''Kazakhstan ni nchi isiyo na dini. Shule ni mahali pa kusoma na sio ku practice mambo ya dini. Tuache watoto wasome, watajiamulia mambo yao wenyewe watakapokuwa wakubwa.''

Inaripotiwa kuwa karibu wasichana 150 wameacha shule katika Jimbo moja nchini humo kutokana na katazo hilo.

DW
Dah hii pisi ya pili kutokea kulia imekaa poa sana
 
muache mtu na imani yake ukiona huku haifai anza kuondosha kwako
Nchi haina dini. Hairusiwi kuvaa hijabu shuleni (Serikalini)
Kwanini wasiende kusoma msikitini (madrasa) ambako hijabu zinaruhusiwa?
Shida huwa mnashindwa kutofautisha mambo ambayo siyo ya dini na ambayo ya dini.
 
Wewe acha bangi zako. Mtume wenu ndio alikua shoga kwa kunyonya ulimi wa mwanamume mwenzake. Bure kabisa.
Alimlamba mwanaume mwenzake denda eti hasiende Motoni
Mudywize buana.
 
Katika uislam hakuna hivyo. Eti umezaa na muislam? Hakuna ndoa kati ya mkiristo na muislam. Na huyo mtoto kwa mujibu wa uislam sio wako umezini tu, huyo mtoto wa mwanamke. Hao unaowaita wakwe kwa mujibu wa uislam sio wakwe. Uislam haufati matamanio ya mtu ni sheria. Uislam sio Chama cha mpira wa miguu mwenyekiti anaweza kubadili katiba.
Uislam haumungunyi maneno.
ww ni mbaguz , hata mm mke ang aje ni muislam
 
Umeandika nini? Mbona wazee wa wakiristo wanawake hawatembei wakiwa na vimini? Wanajistiri tena kwa kanga na hijab. Hijab ni heshima; mtoto mdogo wa kiislam anaheshima
kwan kuna sare za kuzururiaa [emoji23][emoji23][emoji857] thikujua asee ngoja niwai siti kwa huu ubuyu
 
Nchi haina dini. Hairusiwi kuvaa hijabu shuleni (Serikalini)
Kwanini wasiende kusoma msikitini (madrasa) ambako hijabu zinaruhusiwa?
Shida huwa mnashindwa kutofautisha mambo ambayo siyo ya dini na ambayo ya dini.
nadhani huelewi uislamu ni stara mwanaadam kujistiri na binti wa kiislamu hatakiwi kuonekana nywele zake sio kama ninyi kwa upande wenu ni sawa ila upande uislamu nimafundisho anatakiwa kuwa
 
Lakini ukiangalia ni ujinga kuvaa hijab, unakuta katoto ka miaka 3 nako kanavalishwa magunia sasa sijuwi ili iweje.
Hahaha ule ni ungeserema. Bosi wangu muislam swala 5 alimkataza mkewe kumvalisha hijab mtoto wake ana miaka 2. Mkewe akanuna balaa. Usenge tu
 
Umeandika nini? Mbona wazee wa wakiristo wanawake hawatembei wakiwa na vimini? Wanajistiri tena kwa kanga na hijab. Hijab ni heshima; mtoto mdogo wa kiislam anaheshima
Ni vazi la Kiarab na heshima kwao kwa akili zao, wewe Mtanzania unavaa kama Mtaleban ili iweje?
 
Ila mkuu mtoto hawezi kukwepa athari za mitazamo ya wazazi wake ndio wapo, lakini pia mavazi ni mapambo pia sio wote wenye kuvaa kwa sababu za kiimani..
Kwa kweli inasikitisha kuona mtoto anavalishwa magunia yaani hakuna mvuto wowote ule, ni haibu sana kwa taifa
 
Huko Asia ya kati wameona ni upumbavu kuabudu utamaduni wa kiarabu wakati wana utamaduni wao.

Hayo mambo ya kipumbavu ya kuabudu tamaduni za kigeni tuachiwe sisi waafrika ndio watu wasiojitambua ambao hadi majina ya kigeni tunaamini ni sehemu ya ibada. Waafrika bure kabisa.
Sidhani kama tunaishia kuamini mambo ya kigeni tu.

Hata imani za kishirikina ni janga, Watu weusi tuna changamoto sana.
 
Hahaha ule ni ungeserema. Bosi wangu muislam swala 5 alimkataza mkewe kumvalisha hijab mtoto wake ana miaka 2. Mkewe akanuna balaa. Usenge tu
Wanawake wengi waendekezao upuuzi huu ni wale ambao hawajasoma, wamekaririshwa tu vitu wasivyovijuwa na kuamini kuwa ni ukweli. Sasa kuna faida gani kumvalisha mtoto magunia kichwani, unaacha kumfundisha mtoto historia yake ajivunue unaenda kumfundisha vitu visivyo na faida maishani mwake. Huu ni ujinga 100%
 
Katika uislam hakuna hivyo. Eti umezaa na muislam? Hakuna ndoa kati ya mkiristo na muislam. Na huyo mtoto kwa mujibu wa uislam sio wako umezini tu, huyo mtoto wa mwanamke. Hao unaowaita wakwe kwa mujibu wa uislam sio wakwe. Uislam haufati matamanio ya mtu ni sheria. Uislam sio Chama cha mpira wa miguu mwenyekiti anaweza kubadili katiba.
Uislam haumungunyi maneno.
Hii dini haijawahi acha kunichekesha, Eti mtoto wa mwanamke 😅 😅 😅
 
Back
Top Bottom