Kazakhstan, nchi yenye waislam wengi yapiga marufuku hijab mashuleni

View attachment 2791064

Kazakhstan, nchi ambayo 70% ya raia wake ni waislam, imepiga marufuku hijab mashuleni kwa walimu na wanafunzi nchini humo.

Raia Tokayev wa nchi hiyo alinukuliwa akisema ''Kazakhstan ni nchi isiyo na dini. Shule ni mahali pa kusoma na sio ku practice mambo ya dini. Tuache watoto wasome, watajiamulia mambo yao wenyewe watakapokuwa wakubwa.''

Inaripotiwa kuwa karibu wasichana 150 wameacha shule katika Jimbo moja nchini humo kutokana na katazo hilo.

DW
Kuwa Muislim peke yake siyo kuwa muumini wa Uislam nikuulize wewe unakubali ushoga? Lakini kiongozi wako wa Kanisa anakubali.
 
Bado sijaona tatizo tunatakiwa tuishi kwa kuvumiliana kwa yale yenye kuvumilika, sioni shida kwa mwanafunzi kuvaa hijabu hasa ikiwa kwa hiyari yake muhimu usafi uzingatiwe. Ukitaka kusema hijabu ni udini na kutaka kuzuia udini shuleni basi hata kuvaa rozari itabidi izuiliwe.
Waislamu waliwai kuvunja bucha za nguruwe dar es salaam yote ....unakumbuka je mimi nikija na dini yangu ya kutembea uchi nikitaka watu wa hiyo dini waende shule uchi wewe utakubali hivyo

Sent from my SM-A325F using JamiiForums mobile app
 
Mimi napinga kitu chochote cha dini kuonekana mashuleni hata masomo ya dini yasifundishwe shuleni ni kosa kubwa sana kitaifa ...dini zifundishwe sehemu husika nakumbuka niliwai kulazimisha kuiangia kipindi cha dini kwa kupigwa viboko eti lazima niwe kwenye darasa la wakristo au waislamu

Sent from my SM-A325F using JamiiForums mobile app
 
View attachment 2791064

Kazakhstan, nchi ambayo 70% ya raia wake ni waislam, imepiga marufuku hijab mashuleni kwa walimu na wanafunzi nchini humo.

Raia Tokayev wa nchi hiyo alinukuliwa akisema ''Kazakhstan ni nchi isiyo na dini. Shule ni mahali pa kusoma na sio ku practice mambo ya dini. Tuache watoto wasome, watajiamulia mambo yao wenyewe watakapokuwa wakubwa.''

Inaripotiwa kuwa karibu wasichana 150 wameacha shule katika Jimbo moja nchini humo kutokana na katazo hilo.

DW
Huko ndo kwakuzamia
 
Hii ya kuvaaa hzo nguo haikupaswa kuwa sheria, yaan kila mtu awe free anatakae avae asietaka asivae mambo ya kupangiana sheria ndo ufala
Nashangaa halafu utasikia mtu anazaliwa ni muislamu,akili za ajabu sana hizi.
 
Waislamu waliwai kuvunja bucha za nguruwe dar es salaam yote ....unakumbuka je mimi nikija na dini yangu ya kutembea uchi nikitaka watu wa hiyo dini waende shule uchi wewe utakubali hivyo

Sent from my SM-A325F using JamiiForums mobile app
Sasa point yako ni ipi kwamba kusiwe na dini ndio suluhisho? Maana hata sasa wanafunzi wa kiume waislamu hawaruhusiwi kwenda shule na kanzu ila hakujawahi kuwa na malalamiko katika hilo na ndio point yangu ya kuvumiliana yenye kuvumilika. Kwahiyo wewe ukija na dini yako utambue yapo mambo ambayo utaruhusiwa na mengine hayatoruhusiwa.
 
Mimi napinga kitu chochote cha dini kuonekana mashuleni hata masomo ya dini yasifundishwe shuleni ni kosa kubwa sana kitaifa ...dini zifundishwe sehemu husika nakumbuka niliwai kulazimisha kuiangia kipindi cha dini kwa kupigwa viboko eti lazima niwe kwenye darasa la wakristo au waislamu

Sent from my SM-A325F using JamiiForums mobile app
Sasa sababu yako ya msingi ni ipi ya wewe kupinga kitu chochote cha dini kuwepo shuleni?
 
Mambo mengine tunayakuza tu tu mkuu, Unataka kuniambia hizo jamii zengine kama wazungu na huko Asia kila jamii inaabudu kwa tamaduni zao?
Unafahamu ni kwa nini China wanakataza dini za kigeni.
 
Mama yake Yesu alikuwa gaidi? Uliwahi sikia mama yake Yesu aliwacha Nywele wazi, au uliwahi sikia mama yake Yesu kazini au alikuwa na boy friend.

Kwani hijabs inawakera nini kama hao viongozi si wanafiki wanataka kuwafurahisha wakristo na wayahudi, wa kwanza mtoa mada atueleza hijabs kosa lake nini.

Au ni chuki tu kuona mabinti wa Kislam kawakosa kutokana na adabu zao, usiniletea story eti wako kina mwajuma na warabu eti nilidate nao, hao si Waislam hao ni majina tu, kwani hakuna nchi za kiarabu zina mpa suport Israel na Amerika, hao viongozi wana majina tu ya kislam lakini uislam na wao wapi na wapi.
 
Sasa point yako ni ipi kwamba kusiwe na dini ndio suluhisho? Maana hata sasa wanafunzi wa kiume waislamu hawaruhusiwi kwenda shule na kanzu ila hakujawahi kuwa na malalamiko katika hilo na ndio point yangu ya kuvumiliana yenye kuvumilika. Kwahiyo wewe ukija na dini yako utambue yapo mambo ambayo utaruhusiwa na mengine hayatoruhusiwa.
Kwani hijabu imeleta kitugani bora kwenye elimu yetu.tofauti na uniform za kawaida ?

Back
Top Bottom