crankshaft
JF-Expert Member
- Jun 12, 2019
- 1,427
- 3,438
Tatizo sio nchi. Quran inasemaje? Hata Vatican imeruhusu ushoga. Jee wakiristo waunge mkono?View attachment 2791064
Kazakhstan, nchi ambayo 70% ya raia wake ni waislam, imepiga marufuku hijab mashuleni kwa walimu na wanafunzi nchini humo.
Raia Tokayev wa nchi hiyo alinukuliwa akisema ''Kazakhstan ni nchi isiyo na dini. Shule ni mahali pa kusoma na sio ku practice mambo ya dini. Tuache watoto wasome, watajiamulia mambo yao wenyewe watakapokuwa wakubwa.''
Inaripotiwa kuwa karibu wasichana 150 wameacha shule katika Jimbo moja nchini humo kutokana na katazo hilo.
DW
Taratibu tu tutaelewana na kuongea lugha 1 kuwa si kila kitu ni cha kuiga iga tu sababu ya mapokeo toka kwa Wazazi, Jamaa na Marafiki.
Tatizo sio nchi. Quran inasemaje? Hata Vatican imeruhusu ushoga. Jee wakiristo waunge mkono?expand...
Hujui unaochongea. Itakuwa shoga weweHuko Asia ya kati wameona ni upumbavu kuabudu utamaduni wa kiarabu wakati wana utamaduni wao.
Hayo mambo ya kipumbavu ya kuabudu tamaduni za kigeni tuachiwe sisi waafrika ndio watu wasiojitambua ambao hadi majina ya kigeni tunaamini ni sehemu ya ibada. Waafrika bure kabisa.
Ngoja wale wanaompigania Allah akina Iran walete Jihad huko.View attachment 2791064
Kazakhstan, nchi ambayo 70% ya raia wake ni waislam, imepiga marufuku hijab mashuleni kwa walimu na wanafunzi nchini humo.
Raia Tokayev wa nchi hiyo alinukuliwa akisema ''Kazakhstan ni nchi isiyo na dini. Shule ni mahali pa kusoma na sio ku practice mambo ya dini. Tuache watoto wasome, watajiamulia mambo yao wenyewe watakapokuwa wakubwa.''
Inaripotiwa kuwa karibu wasichana 150 wameacha shule katika Jimbo moja nchini humo kutokana na katazo hilo.
DW
Mbona kanisani nyote hamvai sketi mkaonana wamoja? Mke na mume?Sare Ina maana ya kuwafanya wanafunzi wajione wamoja ukiweka mavazi ya dini unaanza kuweka mbegu ya ubaguzi miongoni mwao
Dini shida? Mbona umezaliwa na mkiristo hukuzaliwa na ngombe?Ila hizi Dini zina shida aiseeee. Nadhani rastafarian ni Imani mzuri Zaidi
Kwamba Dini ndio imenizaa?Dini shida? Mbona umezaliwa na mkiristo hukuzaliwa na ngombe?
Kakuzaa mkiristo. Mpe sumu basiKwamba Dini ndio imenizaa?
makafiri roho zimewasafishika kwa furahaMagaidi hawatakuelewa
Elimu dunia... elimu, elimu, elimu!View attachment 2791064
Kazakhstan, nchi ambayo 70% ya raia wake ni waislam, imepiga marufuku hijab mashuleni kwa walimu na wanafunzi nchini humo.
Raia Tokayev wa nchi hiyo alinukuliwa akisema ''Kazakhstan ni nchi isiyo na dini. Shule ni mahali pa kusoma na sio ku practice mambo ya dini. Tuache watoto wasome, watajiamulia mambo yao wenyewe watakapokuwa wakubwa.''
Inaripotiwa kuwa karibu wasichana 150 wameacha shule katika Jimbo moja nchini humo kutokana na katazo hilo.
DW
Kuwa na adabu Kama huna hoja kaa kimya. Naishi na kushirikiana na waislam wanaojua dini kuliko wewe mropokaji.Mbona kanisani nyote hamvai sketi mkaonana wamoja? Mke na mume?
Ukae na muislam wewe? Unachuki na waislam balaaaKuwa na adabu Kama huna hoja kaa kimya. Naishi na kushirikiana na waislam wanaojua dini kuliko wewe mropokaji.