Hii ndiyo nchi naisikia kwa mara ya kwanzaKazakhstan yenye raia wengi waislamu(70%) kupitia bunge la nchi hiyo imepiga marufuku vazi la niqab katika umma kwa wanawake wa taifa hilo.
Duh asante sana mkuuHiyo nchi ni tajiri wa madini wa kutupwa, ndio inaongoza kwa uzalishaji wa uranium duniani.
Ulivyokuwa primary ulikuwa husomi atlas?😀😀Hii ndiyo nchi naisikia kwa mara ya kwanza
Tuachane na Zanzibar tujiite TANGASTAN!Ulivyokuwa primary ulikuwa husomi atlas?😀😀
Hilo eneo kuna nchi
Kazakhstan
Uzbekistan
Tajikistan
Turkmenistan
Afghanistan
Kyrgyzstan
Azerbaijan
Pakistan
Hawana shida na mtuHapo ukiondoa Afghanistan na Pakistan hizo nchi nyingine zote za maana sana.
Yaah, pia hii inaleta amani kwa sisi ambao tunahofia kuvamiwa wakati wowote.
Inashangaza sana, ila binadamu tunatofautiana sana akili na uwezo kuchambua mambo kilojiki.Huku Tandika dada zetu wajafunika haya mavazi na kuburuza ardhi kwa kufagia. Sasa najiuliza unajisi wote, uchafu wote wa njia wanaufagia kwa hayo mavazi kuna kujisitiri gani hapo?
1. Sura Al-Baqarah (2:120):
"Wala watakubali Wayahudi wala Wanaswara mpaka ufuate dini yao. Sema: 'Hakika uongofu wa Mwenyezi Mungu ndio uongofu.' Na ukiwa ukifuata matamanio yao baada ya ile ilokujia ya Ulimwengu, hatakidhamini kutoka kwa Mwenyezi Mungu."
2. Sura Al-Kafirun (109:6):
"Ninyi na dini yenu, mimi na dini yangu."
(Hii inasisitiza kutofuata mazoea ya makafiri na kushika Uislamu wazi.)
3. Sura Al-Mumtahanah (60:4):
"Tumekuwa na uadui na chuki kati yetu na nyinyi mpaka mwamini Mwenyezi Mungu pekee."
(Inafafanua kuwa uhusiano na makafiri haupaswi kuwa wa kufuata mazoea yao.)
4. Sura Al-Ma’idah (5:51):
"Enyi mlioamini! Msiwawe wale Wayahudi na Wanaswara kuwa marafiki zenu; wao ni marafiki wa kila mmoja wao. Na anayewafanya kuwa marafiki zenu basi hakika yeye ni miongoni mwao."
(Inakataza urafiki wa kimkakati unaoweza kusababisha kufuata mizimu)
Hili ni viazi la kitamaduni au kidini?..Kazakhstan yenye raia wengi waislamu(70%) kupitia bunge la nchi hiyo imepiga marufuku vazi la niqab katika umma kwa wanawake wa taifa hilo.
Mwaka 2023 Kazakhstan ilipiga marufuku uvaaji wa hijabu kwa wanafunzi na walimu katika shule za taifa hilo.
View attachment 3389313View attachment 3389315