Kazakhstan yapiga marufuku mavazi ya kidini ya ninja(niqab) kwa wanawake

Na dhahabu as well.
Kuna kitu cha kujifunza hapa; why hawataki haya mambo while sisi tunaya entertain? Halafu kule Waislamu kibao wapo pale?
Nafikiri Waafrika utamaduni wetu haukuwa na mizizi imara sana inayoenda nyuma karne nyingi na hatukuwa proud sana na utamaduni wetu kwa hiyo walipokuja wageni na mambo yao ukafagiliwa kirahisi na tukaishia kutukuza zaidi tamaduni za kigeni kila mahali na katika kila nyanja ya maisha.
 
Moja ya maana ya neno dini ni utamaduni. Kwa maana dini yako ni ule utamaduni wako.

Kwa maana nyingine hata Usekyula ni utamaduni. Ni utamaduni unaowataka wafuasi waache tamaduni (dini) zao za asili wafate utamaduni wa Usekyula.

kwa hiyo vazi la hijab ni la utamaduni wa kiislam
Usekyula hauna wafuasi, ni sawa na kusema kutemba uchi ni mtindo wa mavazi nao.
 
Hii ndiyo nchi naisikia kwa mara ya kwanza

Kazakhstan country brief​

General​

Kazakhstan is the ninth-largest country in the world, covering some 2.7 million square kilometres.

Kazakhstan is bordered by Russia to the north, the Caspian Sea to the south-west, Turkmenistan, Uzbekistan and the Kyrgyz Republic to the south, and China to the east.

Kazakhstan gained its independence from the former Soviet Union on 16 December 1991. In 1998, the capital was moved from the south-eastern city of Almaty to the northern city of Astana.

The population of Kazakhstan is 18.4 million people, of which around 68 per cent are ethnic Kazakhs. 19 per cent of the population comprises a sizeable ethnic Russian minority and the rest comprises ethnic Uzbeks, Ukrainians, Uighurs, Tartars and Germans.

Kazakhstan is a secular country, however around 70 per cent of the population identify as Muslim and 26 per cent of the population identify as Orthodox Christian.

The national language, Kazakh, is a Turkic language and is related to the Kyrgyz, Uzbek, Tatar, Turkmen and Uighur languages spoken across Central Asia. Kazakh is also widely spoken in Kyrgyzstan, Tajikistan, and in parts of Mongolia, China and Iran. It can be written in Cyrillic, Latin or Arabic script. Russian is widely used for administrative and technical purposes and is still the first language for a significant minority.

Kazakhstan is a member of the United Nations (UN), Organisation of Islamic Cooperation (OIC), Shanghai Cooperation Organisation (SCO), North Atlantic Cooperation Council (NACC), Commonwealth of Independent States (CIS), Collective Security Treaty Organisation (CSTO) and the Organisation for Security and Cooperation in Europe (OSCE) and the World Trade Organization. It is active in these multilateral fora...

READ MORE : https://www.dfat.gov.au/geo/kazakhstan/kazakhstan-country-brief
 
🙏
 
1. Sura Al-Baqarah (2:120):
"Wala watakubali Wayahudi wala Wanaswara mpaka ufuate dini yao. Sema: 'Hakika uongofu wa Mwenyezi Mungu ndio uongofu.' Na ukiwa ukifuata matamanio yao baada ya ile ilokujia ya Ulimwengu, hatakidhamini kutoka kwa Mwenyezi Mungu."

2. Sura Al-Kafirun (109:6):
"Ninyi na dini yenu, mimi na dini yangu."
(Hii inasisitiza kutofuata mazoea ya makafiri na kushika Uislamu wazi.)

3. Sura Al-Mumtahanah (60:4):
"Tumekuwa na uadui na chuki kati yetu na nyinyi mpaka mwamini Mwenyezi Mungu pekee."
(Inafafanua kuwa uhusiano na makafiri haupaswi kuwa wa kufuata mazoea yao.)

4. Sura Al-Ma’idah (5:51):
"Enyi mlioamini! Msiwawe wale Wayahudi na Wanaswara kuwa marafiki zenu; wao ni marafiki wa kila mmoja wao. Na anayewafanya kuwa marafiki zenu basi hakika yeye ni miongoni mwao."
(Inakataza urafiki wa kimkakati unaoweza kusababisha kufuata mizimu)
Humu Jamii forum walikuwemo wakina faizafoxy wafia dini Sasa hivi hawapo..
 
Usekyula hauna wafuasi, ni sawa na kusema kutemba uchi ni mtindo wa mavazi nao.
Ndugu Usekyula ni Itikadi. Kazi ya itikadi ni kutengeneza tamaduni za watu.

Hata serikali inapokuwa na itikadi lengo ni kutengeza utamaduni wa raia wake. Pindi raia anapokuwa na tamaduni mmoja, taifa hilo litakuwa halina misuguano na hivyo huwa na mwelekeo mmoja. Pamoja na raia kukubaliana kufata itikadi hiyo hata hivyo imeshindwa kuleta maendeleo na ustawi wa nchi.

Nikirudi sasa ktk hoja yako ni kuwa Usekyula ni itikada. Ni itikadi ya Wakana Mungu. Wale ambao kuna wenye uhakika kuwa Mungu hayupo, Mungu kauwawa. Kuna wenye msimamo wa kati kuwa hawana uhakika wa uwepo wa Mungu. Kila itikadi ina wafuasi.

Si wakristo si waislam jamii zote tumeathiriwa.
Wenjeti wakatriso wanaweza kupitia uzi huu kuona namna dani hata dini yenyewe ilivyoathiriwa.

Wislam na hasa waliopitia elimu ya sekyula unaweza kuona athari zao. Ona wanawake walio ccm. Anza na wale maarufu. Kwa kuangalia tu utajua wako contaminated na Usekyula
 
Attachments

  • 20240810_113707.jpg
    20240810_113707.jpg
    94 KB · Views: 21

Mtoto akizaliwa kabla ya kuanza kuwa brainwashed na dini anakuwa na itikadi gani ??
 
kwa mujibu wa mafundisho ya Uislam, mtoto anazaliwa akiwa ni muislam, na wazazi wake humtoa ktk Uislam kwa kumbatiza kuwa wa dini ya washirikina (sanamu) au muabudu moto au dini ya wakana mungu
 
Kiuhalisia watu huwa hawapotei mpaka waache muongozo wa kitabu cha Allah na hadithi za mtume swala na amani ziwe juu yake, Allah awape subra raia wenzangu wa Kazakhstan na awaongoze watawala wake kuelekea yale yenye maslahi na miji yake na raia wake.
 
Kazakhstan yenye raia wengi waislamu(70%) kupitia bunge la nchi hiyo imepiga marufuku vazi la niqab katika umma kwa wanawake wa taifa hilo.

Mwaka 2023 Kazakhstan ilipiga marufuku uvaaji wa hijabu kwa wanafunzi na walimu katika shule za taifa hilo.
View attachment 3389313View attachment 3389315
Ni huku Africa hasa bongo walipletewa hiyo dini ya mwarabu na majahazi Wana complicate maisha huko kwao wanawake wanajiachia tuu. Nimeina Iran juzi unyqelie mpaka chini, saudia, Morocco, Egypt huko wanawake kama wazungu ila ngozi nyeusi ya kukariri kitabi kilicholetwa Sasa, gubigubi wanaburuza na makandambili
 
Back
Top Bottom