Kazakhstan yapiga marufuku mavazi ya kidini ya ninja(niqab) kwa wanawake

Kazakhstan yapiga marufuku mavazi ya kidini ya ninja(niqab) kwa wanawake

Kazakhstan yenye raia wengi waislamu(70%) kupitia bunge la nchi hiyo imepiga marufuku vazi la niqab katika umma kwa wanawake wa taifa hilo.

Mwaka 2023 Kazakhstan ilipiga marufuku uvaaji wa hijabu kwa wanafunzi na walimu katika shule za taifa hilo.
View attachment 3389313View attachment 3389315
InshaAllah!Watapata thawabu rundo kubwa sana.
 
1. Sura Al-Baqarah (2:120):
"Wala watakubali Wayahudi wala Wanaswara mpaka ufuate dini yao. Sema: 'Hakika uongofu wa Mwenyezi Mungu ndio uongofu.' Na ukiwa ukifuata matamanio yao baada ya ile ilokujia ya Ulimwengu, hatakidhamini kutoka kwa Mwenyezi Mungu."

2. Sura Al-Kafirun (109:6):
"Ninyi na dini yenu, mimi na dini yangu."
(Hii inasisitiza kutofuata mazoea ya makafiri na kushika Uislamu wazi.)

3. Sura Al-Mumtahanah (60:4):
"Tumekuwa na uadui na chuki kati yetu na nyinyi mpaka mwamini Mwenyezi Mungu pekee."
(Inafafanua kuwa uhusiano na makafiri haupaswi kuwa wa kufuata mazoea yao.)

4. Sura Al-Ma’idah (5:51):
"Enyi mlioamini! Msiwawe wale Wayahudi na Wanaswara kuwa marafiki zenu; wao ni marafiki wa kila mmoja wao. Na anayewafanya kuwa marafiki zenu basi hakika yeye ni miongoni mwao."
(Inakataza urafiki wa kimkakati unaoweza kusababisha kufuata mizimu)
 
Hii ndiyo nchi naisikia kwa mara ya kwanza
kwa hiyo we ulijuaga pakistan na afghanistan tu? Sasa pia jua kuna uzbekistan, tajikistan, turkemenistan na krygistan, Zote hizi zilikuwa ni nchi zilizokuwa USSR, Urusi ya zamani
 
Na wakifika huko wanalazimisha utamaduni wao upewe kipaumbele
Kwa wao sikuona hizo tabia nilipokutana nao , ni wapole, wakarim na masikini kama sisi kabisa.

Wapo wanaoishi milimani hata nyumba hawana, ni wafugaji wazuri wa mbuzi na kondoo.

Ukiishi nao ni watu wazuri sana na hawana makuu, hawana imani kali kabisa kuhusu dini.

Wao dini wanaichukulia poa kabisa, wanajichanganya sana na watu wengine, kwa kifupi maisha yao kama yetu kabisa.

Niliwahi kuishi nao jirani, utawafurahia mkizoeana.
 
Back
Top Bottom