Kazakhstan yapiga marufuku mavazi ya kidini ya ninja(niqab) kwa wanawake

Kazakhstan yapiga marufuku mavazi ya kidini ya ninja(niqab) kwa wanawake

Na dhahabu as well.
Kuna kitu cha kujifunza hapa; why hawataki haya mambo while sisi tunaya entertain? Halafu kule Waislamu kibao wapo pale?
Wanaendana na mabadiriko ya tabia nchi bila shaka.

Lakini nadhani kunatofauti kati ya dini na utamaduni.

Wahindu wanawake huwa tunaona wanaacha matumbo wazi, ile ni takwa la dini au ni utamaduni wao?

Haileti maana kwa dunia nzima, mtu anajifunika mwili mzima hadi macho, unamtambuaje?

Picha za vitambulisho vyaake ikoje?

Airports wana mtambua vipi?

Wao kwenye shughuli zao wanatambuanaje, mfano bank au sehemu yoyote anapohitaji kuonyesha kitambulisho chake?
 
Huku Tandika dada zetu wanajifunika haya mavazi na kuburuza ardhi kwa kufagia. Sasa najiuliza unajisi wote, uchafu wote wa njia wanaufagia kwa hayo mavazi kuna kujisitiri gani hapo?
Anasema anajisitiri, hajaolewa na bikra hana.
Ukienda msikitini, ukachukua mabinti ambao hawajaolewa na wana miaka 13-18 unaweza usikute bikra ila hayo mavazi utaambiwa wanajistiri😁😁😁 Unajisitiri na hauna bikra, sijui unajisitiri nini😁😁
 
Hilo ni vazi la kitamaduni kwa watu wa mashariki ya kati na kwa kuwa wanauita utamaduni wao dini basi wanadai ni vazi la kidini eti mungu wao anayeitwa allah aliamrisha wanawake wote wamwaminio walivae.

Kwa kuwa mambo ya dini hayawezi kuthibitishwa basi ndio wanalivaa lakini katika nchi kama Kazakhstan hawawezi kulikubali kwa sababu utamaduni wao hautambui hilo vazi.

Itakumbukwa vyema kwamba nchi ya Kazakhstan ilikuwa ni miongoni mwa mataifa yale 15 yaliyotwaliwa na Russia na kuwa USSR kwa takriban miaka 72 hivi hali iliyopelekea wananchi wengi wa mataifa hayo ikiwemo Kazakhstan kuwa walaji wakubwa wa (kitimoto) hadi leo pamoja na kuwa na idadi kubwa ya waumini wa dini ya kiislamu...!!!
 
Huku ni matokeo ya athari za utumwa
Sahihi kabisa. When I was working in Saudia, wenyeji walikua wanajua namna ya kuwatofautisha waarabu wenzao. Hawa suruali fupi jamaa walikua wanatwambia kwamba hao ni wa Pakistan; wanawake wanao vaa kama maninja nao ni jamii za Pakistan na Iran. Saudians wao wanavaa hijabu kawaida, sura ya demu unaiona but kichwa wanafunika kabisa kama ma sister wa Roman Catholics.
Kuhusu Kanzu, Saudia rangi za kanzu zinavaliwa sawa sawa na msimu, kipindi cha joto wanavaaga kanzu nyeupe while kipindi cha baridi, wanavaa colored which is just normal Physics. Sasa kutana na sie wa huku tulio rithishwa na utumwa; hatueleweki yaani
 
Kiuhalisia watu huwa hawapotei mpaka waache muongozo wa kitabu cha Allah na hadithi za mtume swala na amani ziwe juu yake, Allah awape subra raia wenzangu wa Kazakhstan na awaongoze watawala wake kuelekea yale yenye maslahi na miji yake na raia wake.
Kumbe wewe ni Mkazakhstan ndugu ?
 
Tatizo la kutomkufurisha Twaghut na kuiacha Jihad madhara yake ndiyo hayo
 
Back
Top Bottom