Kazakhstan yapiga marufuku mavazi ya kidini ya ninja(niqab) kwa wanawake

InshaAllah!Watapata thawabu rundo kubwa sana.
 
 
Hii ndiyo nchi naisikia kwa mara ya kwanza
kwa hiyo we ulijuaga pakistan na afghanistan tu? Sasa pia jua kuna uzbekistan, tajikistan, turkemenistan na krygistan, Zote hizi zilikuwa ni nchi zilizokuwa USSR, Urusi ya zamani
 
Na wakifika huko wanalazimisha utamaduni wao upewe kipaumbele
Kwa wao sikuona hizo tabia nilipokutana nao , ni wapole, wakarim na masikini kama sisi kabisa.

Wapo wanaoishi milimani hata nyumba hawana, ni wafugaji wazuri wa mbuzi na kondoo.

Ukiishi nao ni watu wazuri sana na hawana makuu, hawana imani kali kabisa kuhusu dini.

Wao dini wanaichukulia poa kabisa, wanajichanganya sana na watu wengine, kwa kifupi maisha yao kama yetu kabisa.

Niliwahi kuishi nao jirani, utawafurahia mkizoeana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…