Kazi gani haina changamoto tuje tufanye kwa pamoja

Kazi gani haina changamoto tuje tufanye kwa pamoja

Kila kazi ina changamoto sema Huwa zinatofautiana.

Zamani nilijua watu wanaoshinda ofisi zenye computer na viyoyozi Huwa hawachoki.

Nilipokuja kupata kazi hiyo nlitamani kukimbia,mchongo unauma mixer usingizi halafu lisupervisor linaangalia kwenye camera unasikia tu linaongea kwenye speaker kuwa uamke.

Sina hamu
 
Back
Top Bottom