Kazi gani ngumu umewahi kufanya?

jamaikatz

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2023
Posts
400
Reaction score
1,429
Wana jf niaje,
Kazi gani ngumu uliyowahi kufanya katika maisha yako?
 
Siku nyingine shangazi alinambia nikanunue betri la gari aiseeee hapana yale madude mazito
 
Upo uzi humu wa watu waliofanya kazi ngumu ni balaa.Mmoja alisema alienda kuomba kibarua cha zege ,kufika tu wakamwambia hapa maji utaita mma na yeye mwenyewe alikiri maji aliyaita mma tena sio mara moja.Picha linaanza waliambiwa washushe mifuko ya cement kitu kama 600 au 500 hivi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…