Kazi gani ya nyumbani huipendi kabisa kuifanya?

Kazi gani ya nyumbani huipendi kabisa kuifanya?

Kusafisha choo ni kipengele ila hakuna namna inabidi nifanye
 
Kazi yoyote ambayo haina malipo mimi hunipati 😅🤦🏻‍♀️

Mwaka wa 20 huu sijafua, kazi zingine huwa nagusa gusa tu.
 
Nyumbani kuna kazi nyingi sana zinazotumia muda mwingi na haziishi zinajirudia rudia kama kupika, kusafisha nyumba, kuosha vyombo nk.

Kati ya kazi hizo mie sipendi kabisa kufuta vyombo na kupanga kabatini nafanya kwa sababu nalazimika ila kungekuwa na mtu wa kuwa anapanga mie naosha tu namaliza anafuta na kupanga ingekuwa poa sana, naichukia sana hii kazi.

Wewe hupendi kufanya kazi gani hapo nyumbani kwako.
Kupiga pasi.....🤔🤔
 
Back
Top Bottom