Kazi gani ya nyumbani huipendi kabisa kuifanya?

Kusafisha choo ni kipengele ila hakuna namna inabidi nifanye
 
Kazi yoyote ambayo haina malipo mimi hunipati πŸ˜…πŸ€¦πŸ»β€β™€οΈ

Mwaka wa 20 huu sijafua, kazi zingine huwa nagusa gusa tu.
 
Kupiga pasi.....πŸ€”πŸ€”
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…