Kazi hipo: Baada ya lady jaydee kueleza sababu za ukimya wake, nae t.i.d ajitoa kwenye show

Kazi hipo: Baada ya lady jaydee kueleza sababu za ukimya wake, nae t.i.d ajitoa kwenye show

Wababa wazima wanakimbilia mahakamani badala ya ku solve issue kiutu uzima..Hii inatupa picha kuwa inawezekana kweli manyonyaji ya wasanii.
Wanatafuta huruma tu ya jamii..Mbona na wao waliongea sana kwenye redio yao..Wanaume 2 wanashindana na mwanamke 1.Akili hizi kweli!!????
 
Nilisema toka awali kuwa jay d mwisho wa siku atajikuta alone maana Hawa wasanii wanafiki sana.
Hata hivyo Naye alichelewa hizi harakati angeunga Tera kipindi kile cha vinega ingekuwa more fire.
Umburura wao wanataka wa fight alone hawawezi shinda kwa Njia hiyo, baada ya jay d atafuata mwingine apigane peke yake pia ata loose.
Kama wamemshindwa ruge na kusaga ni wazi hawawezi ishawishi serikali iwaone wa maana
 
nasubiria kuona members woote mnaomsapot jide iyo tarehe 31 pale parking ya nyumbani lounge.......................no excuse
 
Hawa wangese wameniudhi xana tena ngoja nikanunue 2tickets ili 31may mie na boy wangu tukamsapoti jide am serious, mamaaaeee kwa ruge mwenye jisura baya na kusaga wake
 
bora alivyojitoa kwanza angeharibu show mtu mwenyewe wa ku copy na kupest , top in town halafu muoga ,bottom in town mkubwa huyo

alaf nashangaa maana jide alikuwa kama anamsadia maana siku nyingi sijasikia akipiga show peke yake.
 
nasubiria kuona members woote mnaomsapot jide iyo tarehe 31 pale parking ya nyumbani lounge.......................no excuse

hakika maana maneno matupu haya saidii.
 
Hahhahahaha. TID ashafulia chaliiiii....kuoa sababu gani hiyo?waulizeni studio.

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums

Kwakweli sikutegemea kama jamaa angekuja na sababu ya namna hii labda anajua angepiga show na jyde mchumba wake ange tolewa meno
 
Wahenga walishasema hakuna lenye mwanzo lisilokuwa na mwisho, huu ndo mwanzo wa mwisho wa kina ruge! Negative publicity mtaipata tu kama uovu mmeufanya. Kama sio leo, ni kesho. Mjipangee

Kama unafatilia karibu hili sakata utagundua kuwa Ruge maji yalikuwa shingoni maana sikuona sababu ya yeye kuchukua air time kwenye radio yake kujieleza na kutoa tuhuma pia. Maana alitakiwa aende mahakamani moja kwa moja, naoana baada ya kuona hali ya hewa akaona bora akimbilie mahakamani na hapa ni mchezo unachezwa kuwapatanisha maana nilimsikia Makalla akisema ameliingilia kati japo jide alishasema hataki kusuluhiswa bali kila mtu ashike hamsini zake wasifatiliane. Na hapa ni wazi njia ya mahakama inatumika kuwakutanisha hawa.
 
Lady jay dee ana band inaitwa MACHOZI BAND . Sasa why asifanye show yake na band yake akafaidi hela na viingilio peke yake. Amekaa kwenye hii industry zaidi ya miaka 10 ana nyimbo kibao why atafute wasanii wengine tena au naye hajiamini sasa why anajiita komandoo. Dah inachekesha coz sijawahi kusikia twanga wanafanya show harafu wawaite msondo au sikinde au akudo

Lady jayeed hakutaka kuwa mbinafsi na si kosa kuwaalika wanamziki wenzie kufurahia pamoja na isitoshe ni sherehe yake ya kutimiza miaka 13 hivyo aliona vyema kufurahia na wenzie na ndio maana aliwaalika wengi sio T.I.D tuu hata prof. jay yupo.

Maana siku zote huwa ana piga show peke yake sasa sikumoja kushirikiana na wengine si mbaya.
 
Huyu Nyani Ngabu anajifanya anatetea sana hawa watu, au ndio Kusaga mwenyewe? usikute yupo bongo hapa hapa anjifanya anakaa nje.
 
Amini usiamini huu ndio mwisho wa lady jay dee . Atakufa natural death kama wasanii wenzake akina wastara, ray c, east coast, mkoloni, o ten, fanani, sister p, daz nunda, diplomatz ,mabaga fresh, hard blastaz, crazy gk, wakali kwanza, inspekta haroun etc........... Hayo makelele anayopiga ni kama tu anakata roho. Huwezi kuzuia kifo

hahahahaha kumbe we unaongelea natural death na si tunaongelea mtu kulazimishwa kugawa kijiti.
lakini kwa nini ajafa siku zote afe leo na amekuepo kwenye industry miaka yote hiyo? alaf hapo ni stara au wastara?
Naamini hakuna wa kuzuia kifo na hakuna wakulazimisha kifo pia.
 
OKWI aliondoka Simba kwa sababu amepata mahali panapolipa zaidi, SAMATA alienda TP MAZEMBE kwa sababu ya dau linalolipa zaidi, vivyo hivyo NGASA kutoka Yanga,AZAM,SIMBA hadi Yanga tena yote ni sababu ya Contract inayolipa zaidi!!!!
Kunya anye kuku kumbe!!!!! Hivi mtu asiende kunakolipa kisa sisi mashabiki tuna yetu? Let's be fair on this,
Sababu ya kuoa kidogo inazaa baadhi ya maswali,
Sababu ya kutokuingilia Bifu kwangu binafsi naona anatengeneza bifu kwa kuepuka bifu!!!

T.I.D ameandika sentensi chache lakini zinazaa maswali mengi. sijawai hona sababu kama alizozitoa yeye hasa ya kuoa.
Hivi kumbe kufanya show na jyde ni kutengeneza bifu na Kusaga au clouds?
 
Nadhan JIDE BAADA YA KULETEWA WITO WA MAHAKAMA ALIPASWA KU-RELEASE THEN NDO ANGEENDA MAHAKAMAN,,,,HATA FILIKUNJOMBE ALISAIN KWENYE KARATAS YA ZITTO YA KUMNG'OA PINDA KABLA HAJAENDA KUONANA NA LUKUVI,ALIPOENDA KWA LUKUVI NA KUAMBIWA USISAIN AKAMWAMBIA NSHASAINI
 
Lady jaydee ameisha kimuziki. Hivyo anataka kuanzisha siasa za kimuziki kugonganisha wasanii na watu vichwa..ili atoke tena. Alikuwa wapi siku zote na issues zake. Kasubiri yeye amefanikiwa alafu anaanza beef. Imagine jay z aanze beef kuwa wasanii wanaonewa nani atamuelewa. Watakaopinga hili hawajawahi kuwa wasanii
 
bila shaka kupitia maneno hayo ya T.I.D wengi watamuelewa lady jaydee

kweli kabisa mkuu hapo ni fitna za kumuangamiza jide kisanii ndizo zinazotumika, how can you compete fairly if the situation isnt fair? wanatumia influences zao na miuwezo yao ya kifedha vibaya, huu ni uuaji wa namna nyingine na sio kitu cha kushabikia hata kidogo, watu wanataka jide ajitume wakati mazingira halisi hayamruhusu kufanya hivyo? kwa vyovyote dada wa watu anahujumiwa na hawa dhulumati wa clouds fm cuz wao ndio wamehodhi music industry ya bongo kwa kiasi kikubwa.
 
Issue hapa ipo clear jamani lady ameisha anajaribu kuongea anajua wananchi wata msupport. Ameanzisha ili zogo ili arudi tena kwenye masikio ya watu. Ruge aliongea wazi kabisa jide ameelikeza missile zake kusiko ilibidi azielekezee skylight. Ruge kumfungulia kesi ilikua kumfunga mdomo asiendelee kuongea vitu vya kijinga kwenye media kuhusu ruge. Jide ame panic huo ni ukweli.
 
nasubiria kuona members woote mnaomsapot jide iyo tarehe 31 pale parking ya nyumbani lounge.......................no excuse

Sio tarehe 31 tu kila week end muende mkamsapoti aache kuongea ongea
 
am watching EATV right now!!. . . .Diary ya JIDE. . . .wanarusha jinsi barnaba na linnah walivyokubali kufanya show na komando binti. . . .kweli RUGE na KUSAGA!!ni wafitini na wazandiki. . . .





TeAm Anaconda##
 
Back
Top Bottom