Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahhahahaha. TID ashafulia chaliiiii....kuoa sababu gani hiyo?waulizeni studio.
Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
Wahenga walishasema hakuna lenye mwanzo lisilokuwa na mwisho, huu ndo mwanzo wa mwisho wa kina ruge! Negative publicity mtaipata tu kama uovu mmeufanya. Kama sio leo, ni kesho. Mjipangee
Lady jay dee ana band inaitwa MACHOZI BAND . Sasa why asifanye show yake na band yake akafaidi hela na viingilio peke yake. Amekaa kwenye hii industry zaidi ya miaka 10 ana nyimbo kibao why atafute wasanii wengine tena au naye hajiamini sasa why anajiita komandoo. Dah inachekesha coz sijawahi kusikia twanga wanafanya show harafu wawaite msondo au sikinde au akudo
Amini usiamini huu ndio mwisho wa lady jay dee . Atakufa natural death kama wasanii wenzake akina wastara, ray c, east coast, mkoloni, o ten, fanani, sister p, daz nunda, diplomatz ,mabaga fresh, hard blastaz, crazy gk, wakali kwanza, inspekta haroun etc........... Hayo makelele anayopiga ni kama tu anakata roho. Huwezi kuzuia kifo
OKWI aliondoka Simba kwa sababu amepata mahali panapolipa zaidi, SAMATA alienda TP MAZEMBE kwa sababu ya dau linalolipa zaidi, vivyo hivyo NGASA kutoka Yanga,AZAM,SIMBA hadi Yanga tena yote ni sababu ya Contract inayolipa zaidi!!!!
Kunya anye kuku kumbe!!!!! Hivi mtu asiende kunakolipa kisa sisi mashabiki tuna yetu? Let's be fair on this,
Sababu ya kuoa kidogo inazaa baadhi ya maswali,
Sababu ya kutokuingilia Bifu kwangu binafsi naona anatengeneza bifu kwa kuepuka bifu!!!
bila shaka kupitia maneno hayo ya T.I.D wengi watamuelewa lady jaydee
nasubiria kuona members woote mnaomsapot jide iyo tarehe 31 pale parking ya nyumbani lounge.......................no excuse
Hivi anacholilia Jay Dee ni nini hasa?