Ondoa hii takatakaView attachment 1314588
Mwenyekiti wa BAWACHA , jumuiya ya wanawake inayosemekana kuwa na nguvu kuliko jumuiya yoyote ya aina hiyo barani Africa , Mh Halima Mdee atazungumza na Waandishi wa habari Makao Makuu ya Chadema Jumatano hii.
Wote mnakaribishwa
Unawashwa tena eeh!!!!Kila siku oh kazi imeanza. Kwa hiyo ilikuwa haijaanza sio?
Taiba za Sodoma na Gomora utaacha lini????Kila siku oh kazi imeanza. Kwa hiyo ilikuwa haijaanza sio?
Jiwe ni muoga sana sijapata kuona. Nikikumbuka ule mkwala wa Mange Kimambi,Jiwe akamwaga Jeshi Zima mitaani. Jiwe madarakani hatoki ng'00000 ndio maana akasema atatoka kwa katiba ya ccm aka chama cha matekajiJiwe lazima atume Polisi kuzuia huo mkutano.
Duh!Wenye jipya hawa hapa
View attachment 1314656
Hakuna jipyaView attachment 1314588
Mwenyekiti wa BAWACHA , jumuiya ya wanawake inayosemekana kuwa na nguvu kuliko jumuiya yoyote ya aina hiyo barani Africa , Mh Halima Mdee atazungumza na Waandishi wa habari Makao Makuu ya Chadema Jumatano hii.
Wote mnakaribishwa
Ha ha ha haa! Mnavituko nyinyi....! Mtakua lini!?wenyekiti wa BAWACHA , jumuiya ya wanawake inayosemekana kuwa na nguvu kuliko jumuiya yoyote ya aina hiyo barani Africa ,
Rudia kusoma nilichokiandika na uthibitishe kama nkmempangia aolewe!!Kuowa ama kuolewa ni maamuzi ya mtu binafsi. Kila mtu ana life style take. Huwezi mpangia mtu maisha yake!
Karibu sana mkuuHa ha ha haa! Mnavituko nyinyi....! Mtakua lini!?
Mpuuzi tu wewe.Taiba za Sodoma na Gomora utaacha lini????
Sisi waswahili wakati mwingine ni wa ajabu sana na wepesi kujidharau.Watu wengi wenye IQ ndogo, priority yao huwa ni kuoa, kuolewa na ngono.
Botha yule mbaguzi wa rangi wa South Africa, aliwahi kunena kuwa mtu mweusi anachokijua ni ngono na kuimba. Ilikuwa ni kauli ya kibaguzi lakini yenye ukweli unaoumiza.
Mpumbavu mkubwa wewe. Shetani weweMpuuzi tu wewe.
Mpuuzi tu wewe.Mpumbavu mkubwa wewe. Shetani wewe
umempa za usoMpumbavu mkubwa wewe. Shetani wewe
Wewe na nani? Usipende ku judge watu bila sababu.Sisi waswahili wakati mwingine ni wa ajabu sana na wepesi kujidharau.
Mkuu ukiitumikia, Ccm umemtumikia shetaniumempa za uso
Mpuuzi mama yako na kizazi chako chote. Shenzi kabisaMpuuzi tu wewe.
Mpuuzi sana wewe.Mpuuzi mama yako na kizazi chako chote. Shenzi kabisa
Mpumbavu mkubwa wewe. Shetani wewe. Kwendaaaa!!!! Tokaaaaaaa!!!! Go to hell!!!!!Mpuuzi sana wewe.