Kazi imeanza mpaka wa Jordan na Israel.Walinzi watatu wa Israel wauawa.

Webabu

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2010
Posts
8,870
Reaction score
14,258
Walinzi watatu wa Israel wameuawa kwa kupigwa risasi kutokea upande wa mpaka wa Jordan kwenye kivuko pekee cha daraja linalounganisha ukingo wa magharibi wa Palestina na Jordan.
Uchunguzi umeanza kubaini tukio hilo kwenye daraja lijulikanalo kama Allenby

Shooting attack at the West Bank-Jordan border crossing kills 3 Israelis

1725792924298.png
https://www.yahoo.com/news/israeli-medics-2-people-were-072649300.html

Iran amejiapiza kisasi chake hakina mfano so inawezekana anataka kuchonganisha hayo mataifa.. na zikipigwa atakuwa kweli kalipiza.. Fisi yule maana alipiga hesabu Israel akilipiza kwake itakuwa aibu baada ya kuona kwa Houthi.. jana kasema alilipua kwa siri meli za Israel kumbe Houthi ni bosheni tu
 
Walinzi watatu wa Israel wameuawa kwa kupigwa risasi kutokea upande wa mpaka wa Jordan kwenye kivuko pekee cha daraja linalounganisha ukingo wa magharibi wa Palestina na Jordan.
Uchunguzi umeanza kubaini tukio hilo kwenye daraja lijulikanalo kama Allenby

Shooting attack at the West Bank-Jordan border crossing kills 3 Israelis

View attachment 3090193Shooting attack at the West Bank-Jordan border crossing kills 3 Israelis

Raia ndio wamededi sio Walinzi

The military said the gunman approached the Allenby Bridge Crossing from the Jordanian side in a truck and opened fire at Israeli security forces, who killed the assailant in a shootout. It said the three people killed were Israeli civilians. Israel’s Magen David Adom rescue service said they were all men in their 50s.
 
Labda ww peke yako ndio ulikuwa unajua wanaopga meli ni houthi Hila wafuatiliaji tulikuwa tunajua kama ni Iran hao houthi hawana technology ya kujua meli inayopita km 200 kutoka kwao
 
Dereva anaua wababu kisa ni waisrael, hii chuki waliyonayo hawa watu ni kubwa sana ndio mana ilikuwa kawaida kubaka wanawake, kuchoma watoto na kuchinja baba zao na kuua watanzania mnamo October 7, achilia mbali kuteka
 
Walinzi watatu wa Israel wameuawa kwa kupigwa risasi kutokea upande wa mpaka wa Jordan kwenye kivuko pekee cha daraja linalounganisha ukingo wa magharibi wa Palestina na Jordan.
Uchunguzi umeanza kubaini tukio hilo kwenye daraja lijulikanalo kama Allenby

Shooting attack at the West Bank-Jordan border crossing kills 3 Israelis

View attachment 3090193Shooting attack at the West Bank-Jordan border crossing kills 3 Israelis
Shooting attack at the West Bank-Jordan border crossing kills 3 Israelis
Wenzako hezzibolla wamwliwa za kichwa huko
 
Raia ndio wamededi sio Walinzi

The military said the gunman approached the Allenby Bridge Crossing from the Jordanian side in a truck and opened fire at Israeli security forces, who killed the assailant in a shootout. It said the three people killed were Israeli civilians. Israel’s Magen David Adom rescue service said they were all men in their 50s.
Walinzi ni askari.Ni kama kwetu akiuliwa mgambo na sare zake sijui utasema nini ?
 
Back
Top Bottom