Raia ndio wamededi sio WalinziWalinzi watatu wa Israel wameuawa kwa kupigwa risasi kutokea upande wa mpaka wa Jordan kwenye kivuko pekee cha daraja linalounganisha ukingo wa magharibi wa Palestina na Jordan.
Uchunguzi umeanza kubaini tukio hilo kwenye daraja lijulikanalo kama Allenby
Shooting attack at the West Bank-Jordan border crossing kills 3 Israelis
View attachment 3090193Shooting attack at the West Bank-Jordan border crossing kills 3 Israelis
Shooting attack at the West Bank-Jordan border crossing kills 3 Israelis
Labda ww peke yako ndio ulikuwa unajua wanaopga meli ni houthi Hila wafuatiliaji tulikuwa tunajua kama ni Iran hao houthi hawana technology ya kujua meli inayopita km 200 kutoka kwaoIran amejiapiza kisasi chake hakina mfano so inawezekana anataka kuchonganisha hayo mataifa.. na zikipigwa atakuwa kweli kalipiza.. Fisi yule maana alipiga hesabu Israel akilipiza kwake itakuwa aibu baada ya kuona kwa Houthi.. jana kasema alilipua kwa siri meli za Israel kumbe Houthi ni bosheni tu
Wenzako hezzibolla wamwliwa za kichwa hukoWalinzi watatu wa Israel wameuawa kwa kupigwa risasi kutokea upande wa mpaka wa Jordan kwenye kivuko pekee cha daraja linalounganisha ukingo wa magharibi wa Palestina na Jordan.
Uchunguzi umeanza kubaini tukio hilo kwenye daraja lijulikanalo kama Allenby
Shooting attack at the West Bank-Jordan border crossing kills 3 Israelis
View attachment 3090193Shooting attack at the West Bank-Jordan border crossing kills 3 Israelis
Shooting attack at the West Bank-Jordan border crossing kills 3 Israelis
Walinzi ni askari.Ni kama kwetu akiuliwa mgambo na sare zake sijui utasema nini ?Raia ndio wamededi sio Walinzi
The military said the gunman approached the Allenby Bridge Crossing from the Jordanian side in a truck and opened fire at Israeli security forces, who killed the assailant in a shootout. It said the three people killed were Israeli civilians. Israel’s Magen David Adom rescue service said they were all men in their 50s.