Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haya mambo ya kupita bila kupingwa JK aliyafuta!Msimamizi was uchaguzi morogoro mjini sheila lukuba amewakata wagombea ubunge was vyama vya upinzan kutikana na makosa mbalimbali katika fomu zao,hivo mgombea pekee wa abdulaziz abood wa ccm amepita bila kupingwa
Kwa Nini walisubiri last minute kupeleleka Fomu ? Mimi CCM lakini wajilaumu wenyewe wangewahi wangesahihisha makosaMsimamizi was uchaguzi morogoro mjini sheila lukuba amewakata wagombea ubunge was vyama vya upinzan kutikana na makosa mbalimbali katika fomu zao,hivo mgombea pekee wa abdulaziz abood wa ccm amepita bila kupingwa
kichwa chako ndani kipo hiviKwa Nini walisubiri last minute kupeleleka Fomu ? Mimi CCM lakini wajilaumu wenyewe wangewahi wangesahihisha makosa
Watanzania tulishaitwa wapumbavu na malofa na mzee mkapaTumekuwa wapole/ waoga sana watanzania ndio maan mtu mmoja anaweza kuimiliki nchi yote hii.