Kazi inaendela, Bil 208 kujenga shule mpya. Nia thabiti ni kukidhi mahitaji ya watanzania sekta ya elimu

Bandari zirejeshwe, maana hata hayo majengo yakijengwa Elimu inayotolewa na huyo mwalimu aliyeelemewa na madeni ni mbovu mno
 
Bandari zirejeshwe, maana hata hayo majengo yakijengwa Elimu inayotolewa na huyo mwalimu aliyeelemewa na madeni ni mbovu mno
Mwakani Mwalimu mmoja anakaa Dar au Dodoma, mambo kwa screen tu. Shule zitabaki na Walimu wa kuwafanyisha wanafunzi revisions tu.

Walimu wachache sana watahitajika kila shule.
 
Ujenzi wa hizi Shule kwa sasa hauzingatii mipango miji. Mkoani Geita. Shule moja imejengwa haina hata uwanja wa Watoto kucheza . Eneo ni dogo sana.
 
Mbona sio ""Serikali yatoa..........." na badala yake siku hizi ni "Samia atoa........"
Au bunge la ccm limeshapitisha mswada wa jina la Mama litumike badala ya Serikali?
 
Arudishe bandari aliyogawa bure kwa wajomba zake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…