Kazi inaendelea kwa Kishindo. Bil 165 kujenga uwanja wa kisasa Dodoma. Mama Samia anaupiga mwingi

Kazi inaendelea kwa Kishindo. Bil 165 kujenga uwanja wa kisasa Dodoma. Mama Samia anaupiga mwingi

Chagu wa Malunde

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2015
Posts
8,734
Reaction score
5,750
Screenshot_20221105-163525.jpg
 
Kazi iendelee
Tusisahau kuweka na barabara ya njia SITA (6)Dodoma msalato mpaka kwenye kiwanja cha ndege
 
Jamani na uwanja wa ndege wa Mwanza wauangalie wamalizie mbona ni pesa kidogo tu. Kulikoni? Wabunge kanda ya ziwa wanafanya nini na aibu ya jengo jipya la abiria, what is a way forward!Haya ndiyo ya kuhoji!
 
Nilifikiri wameuhamishia ule wa Chato Dodoma.
Nadhani utatumika zaidi Kwa ajili ya viongozi ila abiria Dodoma sidhani kama wengi kutokana na kijiografia Iko katikati ya nchi pia na uanzishwaji wa SGR kutoka Dar na Dom itachukua muda mfupi sana
 
Dom kuna uwanja wa Ndege teyari, kweni vipaumbele vimeisha?
what.png
 
Kwenu kuna umeme? Maji yanatoka?

Kwa akili yako Tu ya kawaida Dodoma zinaweza kutua international airlines?

Mambo mengine ambayo mnasifia hayana kichwa wala miguu,

Unaona sifa kutumiwa billions kujenga uwanja wa ndege while wanafunzi hawana ela ya mikopo

Wala hakuna tanki kubwa la kusave maji hata Lita milion 5
 
Nadhani utatumika zaidi Kwa ajili ya viongozi ila abiria Dodoma sidhani kama wengi kutokana na kijiografia Iko katikati ya nchi pia na uanzishwaji wa SGR kutoka Dar na Dom itachukua muda mfupi sana

Dodoma haiwez kuwa kama dar wala haiwez kuwa kama Arusha

Huo uwanja mpya utakuwa kama soko la ndugai
 
Mwache aupige tu! ndo sisi wenye nchi tumeamua/penda ivooo! hakuna mwingine wakutupangia nyau weye ukiona vepi fanya hivi.......kunywa chupa! ndg zako wakuzike uone km sie tutasimama kusonga mbele na Rais Mama yetu!!
 
Anaupiga mwingi ila yupo team pinzani, kwahyo anaupiga mwingi kutufunga magoli.
 
Back
Top Bottom