Kazi inaendelea: Samia analiunga daraja la WAMI bila kelele, kutukanana na watu au kutafuta kiki. Kuongoza nchi ni sayansi

chiembe

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2015
Posts
16,859
Reaction score
28,112
Daraja hili linakwenda kukamilika mwaka huu na kufanya usafiri katika ukanda huo kuwa Bora kabisa.

Hakuna mradi utaachwa, na miradi mipya itazidi kujengwa.

#SHH2025/30
#MamaMaendeleo.
Screenshot_20220416-120446.jpg
 
Katiba inayoleta kikwazo cha limit ya miaka 10 kwa Rais Mzalendo anaejituma haifai …kwa kuwa Rais anapigiwa kura kila baada ya miaka mitano tukimchoka tutampiga chini kwny kura sio kutunyima haki na fursa ya kuongozwa nae

kina Profesa Rwekaza Mukandala kwny Kamati yao warekebishe hiki kifungo

Samia for life
 
HAYA YATEKELEZWE
1. Bwawa la Nyerere
2. Barabara ya njia 4 mbeya mjini
3. Reli mwendo kasi iungwe kutokea moro kwenda mbeya (huko ndio tutakuwa tumeua ndege wawili,huko kuna abiria wa ndani pia Malawi,Zambia na DRC.
4. Soko la kariakoo liongezewe ufanisi. (Yaani bidhaa ziwe nyingi,kodi ya wanaolilisha soko toka nje kodi ipunguzwe, ili nchi za Zambia,Malawi,Msumbiji,waje kwa wingi
 
Mbeya tazara inawatosha
 
Katiba inayoleta kikwazo cha limit ya miaka 10 kwa Rais Mzalendo anaejituma haifai …kwa kuwa Rais anapigiwa kura kila baada ya miaka mitano tukimchoka tutampiga chini kwny kura sio kutunyima haki na fursa ya kuongozwa nae

kina Profesa Rwekaza Mukandala kwny Kamati yao warekebishe hiki kifungo

Samia for life

Rais anapigiwa kura na nani?!
 
Back
Top Bottom