chiembe JF-Expert Member Joined May 16, 2015 Posts 16,859 Reaction score 28,112 Apr 16, 2022 Thread starter #41 The saga continues
A Akilinjema JF-Expert Member Joined Aug 9, 2016 Posts 11,430 Reaction score 11,813 Apr 16, 2022 #42 Glenn said: Tunamshukuru Samia kwa hisani hii ya kujitolea kutujengea daraja. Click to expand... Kumbe ni Kwa hisani yake ? Kwa vipi?
Glenn said: Tunamshukuru Samia kwa hisani hii ya kujitolea kutujengea daraja. Click to expand... Kumbe ni Kwa hisani yake ? Kwa vipi?
Glenn JF-Expert Member Joined May 23, 2015 Posts 69,329 Reaction score 164,730 Apr 16, 2022 #43 Akilinjema said: Kumbe ni Kwa hisani yake ? Kwa vipi? Click to expand... Haha huoni mataga wanamsifia utafikiri Samia anatujengea kwa pesa binafsi?
Akilinjema said: Kumbe ni Kwa hisani yake ? Kwa vipi? Click to expand... Haha huoni mataga wanamsifia utafikiri Samia anatujengea kwa pesa binafsi?
M Mabel JF-Expert Member Joined Sep 1, 2010 Posts 1,276 Reaction score 684 Apr 16, 2022 #44 chinembe said: Daraja hili linakwenda kukamilika mwaka huu na kufanya usafiri katika ukanda huo kuwa Bora kabisa. Hakuna mradi utaachwa, na miradi mipya itazidi kujengwa. #SHH2025/30 #MamaMaendeleo. View attachment 2189448 Click to expand... Sema Samia anamalizia kazi iliyoanzishwa na mtangulizi wake.
chinembe said: Daraja hili linakwenda kukamilika mwaka huu na kufanya usafiri katika ukanda huo kuwa Bora kabisa. Hakuna mradi utaachwa, na miradi mipya itazidi kujengwa. #SHH2025/30 #MamaMaendeleo. View attachment 2189448 Click to expand... Sema Samia anamalizia kazi iliyoanzishwa na mtangulizi wake.