Mabibi na mabwana awamu hii ina maajabu yake. Imekuwa kila Mama Samia anapokuwa anahutubia hapa nchini, basi waheshimiwa: Mpango, Majaliwa na vigogo wa juu nao never miss.
Haiyumkiniki vigogo hawa walipenda pia kuwapo Kampala na Nairobi.
Hiiiiii bagosha!
Wajameni, hizi gharama za kuwasafirisha hawa vigogo wote tokea walipokuwa kwenda kwenye hizi hafla zinakuwa je? Kwani nao wakikaa kwenye runinga au radio kama kina sisi haitoshi?
Wajameni si mmpe mama nafasi afanye vitu vyake?
Hii kufuatana fuatana hii si inaweza kuwa na athari nyingi tu zikiwamo za kiusalama, kuoneana aibu kwenye kutumbuana mubashara nk?
Wamekuwa kama kumbi kumbi. Bibi mbele bwana nyuma!
Au nasema urongo ndugu zangu?