Tulia wewe hii nchi ilichezewa sana, acha kazi iendelee
Hahahaha 😂😂😂
Hao wote wanapokuwa ukumbini haimaanishi kuwa wasaidizi wao wanakuwa hawaendelei kufanya kazi.
Hao ni viongozi wa taasisi hivyo kila kitu kinaendelea kwa kufuata taratibu za kisheria muda wowote ule.
Hakika kazi inaendeleaWenye masikio wamesikia wakiwamo wote walioambatana naye. Kumbe ndiyo maana walialikwa wote.
Rasmi sasa nyungu na yale mauza uza yote na gonjwa hili kwenda maji.
Tahadhari husika sasa kazini.
Hao wote wanapokuwa ukumbini haimaanishi kuwa wasaidizi wao wanakuwa hawaendelei kufanya kazi.
Hao ni viongozi wa taasisi hivyo kila kitu kinaendelea kwa kufuata taratibu za kisheria muda wowote ule.
..mtoa mada ana hoja.
..lakini suala analolipinga limekuwepo kwa muda mrefu itakuwa ni vigumu kuachana nalo.
..kuna mambo mengi ya itifaki tunatakiwa tuachane nayo, na hili analoongelea mtoa mada ni mojawapo.
..kwa mfano, kuna utaratibu wa utitiri wa viongozi kuwepo uwanja wa ndege kumuaga na kumpokea Raisi anapokwenda na kutoka safari. Nadhani utamaduni huo unaweza kurekebishwa, na shughuli hiyo ikafanywa na watu wachache zaidi.
..hata hili la Raisi kuhutubia akiwa Dsm, sikuona ulazima wa VP na PM kuwepo hapo. Nadhani suala hili lingeshughulikiwa kama ziara ya Raisi mikoani ambapo huwa na mawaziri wachache na mkuu wa mkoa husika.
..Zaidi, hivi kulikuwa na ulazima wa kuwakusanya hao wazee na kuzungumza nao kwa niaba ya wazee wa nchi nzima? Kwanini Raisi asihutubie taifa zima kupitia LUNINGA?
Usijali akitoa Hotuba ijayo utakaa wewe pembeni yakeMabibi na mabwana awamu hii ina maajabu yake. Imekuwa kila Mama Samia anapokuwa anahutubia hapa nchini, basi waheshimiwa: Mpango, Majaliwa na vigogo wa juu nao never miss.
Haiyumkiniki vigogo hawa walipenda pia kuwapo Kampala na Nairobi.
Hiiiiii bagosha!
Wajameni, hizi gharama za kuwasafirisha hawa vigogo wote tokea walipokuwa kwenda kwenye hizi hafla zinakuwa je? Kwani nao wakikaa kwenye runinga au radio kama kina sisi haitoshi?
Wajameni si mmpe mama nafasi afanye vitu vyake?
Hii kufuatana fuatana hii si inaweza kuwa na athari nyingi tu zikiwamo za kiusalama, kuoneana aibu kwenye kutumbuana mubashara nk?
Wamekuwa kama kumbi kumbi. Bibi mbele bwana nyuma!
Au nasema urongo ndugu zangu?
Huyo ni wale walioamini kuwa Mbowe angekuwa waziri mkuu nchi hii. Sasa mambo yamegeuka jamaa anakuja na uzi usioeleweka hapa jamvini
Kuhutubia taifa kupitia wazee ni utaratibu ameurithi kutoka kwa watano waliomtangulia...mtoa mada ana hoja.
..lakini suala analolipinga limekuwepo kwa muda mrefu itakuwa ni vigumu kuachana nalo.
..kuna mambo mengi ya itifaki tunatakiwa tuachane nayo, na hili analoongelea mtoa mada ni mojawapo.
..kwa mfano, kuna utaratibu wa utitiri wa viongozi kuwepo uwanja wa ndege kumuaga na kumpokea Raisi anapokwenda na kutoka safari. Nadhani utamaduni huo unaweza kurekebishwa, na shughuli hiyo ikafanywa na watu wachache zaidi.
..hata hili la Raisi kuhutubia akiwa Dsm, sikuona ulazima wa VP na PM kuwepo hapo. Nadhani suala hili lingeshughulikiwa kama ziara ya Raisi mikoani ambapo huwa na mawaziri wachache na mkuu wa mkoa husika.
..Zaidi, hivi kulikuwa na ulazima wa kuwakusanya hao wazee na kuzungumza nao kwa niaba ya wazee wa nchi nzima? Kwanini Raisi asihutubie taifa zima kupitia LUNINGA?
Wasukuma orodhesheni madukuduku yenu yote mama ayafanyie kazi, maana nyinyi ni yatima kwa hakika
Usijali akitoa Hotuba ijayo utakaa wewe pembeni yake
Kweli mama kaongea point leoMkuu mama katufurahisha sana. Wasukuma wapya tumeyapenda sana haya:
1. Sasa tuna msimamo mpya kuhusiana na Corona. Nyungu na juice juice zikiwamo za Madagascar na NIMRI kwishney.
2. Maendeleo hayana chama na hii nchi ni yetu sote si ya wasukuma wale wala kanda ile wala ya chama kile.
Kuyaingiza hayo vichwani mwa misukule ya mwendazake na misukuma ya siku hizo inahitaji mama kugongelea na nyundo.
Kwenye list ya wasukuma sisi wa leo, bado tunasubiria na zile ripoti za CAG - itapendeza zaidi vigogo hawa waendelee kualikwa.
Kweli mama kaongea point leo