Kazi kubwa anayoifanya Rais Samia katika ziara za mikoani

Nyabukika

JF-Expert Member
Joined
Jun 15, 2022
Posts
1,440
Reaction score
1,046
Rais Samia anaendelea kupita katika kila Mkoa kukagua utekelezaji wa miradi mbalimbali na kutatua kero za wananchi. Licha ya kufanya ziara katika nchi mbalimbali zilizoleta tija kubwa, Rais hapumziki na kungojoea ripoti yuko "FIELD" katika Mikoa, Wilaya, Kata hadi Vijijiji. Baadhi ya mambo yanayofanywa na Rais Samia katika ziara yake yanayovutia wananchi wengi;

1. Kukagua utekelezaji wa miradi mbalimbali katika ubora, muda wa utekelezaji, thamani ya miradi husika na namna inavyo saidia wananchi.

2. Kusikiliza maoni, ushauri, kero na hoja mbalimbali za wananchi moja kwa moja na kuzipatia ufumbuzi wa kina na kwa wakati.

3. Kuhamasisha wananchi kushiriki kikamilifu katika shughuli mbalimbali za kimaendeleo zinazolenga kuleta tija kwa wananchi wenyewe na kwa nchi yetu ikiwemo SENSA ya watu na makazi inayotarajiwa kuanza hivi karibuni.

4. Kuimarisha misingi ya uwajibikaji kwa viongozi na watumishi wa umma waliopewa dhamana ya kutumikia watanzania katika nafasi mbalimbali za maamuzi.

5. Kujionea mafanikio ya kazi mbalimbali zinazofanywa na serikali katika kustawisha maisha ya kila mwananchi.

Uongozi wa Rais Samia ni kielelezo cha ubora unaohitajika katika kufanya mabadiliko ya kimaendeleo nchini. Watanzania tunazo sababu nyingi za kumpongeza kiongozi wetu huyu kwa kazi kubwa anayoifanya.
 
Tofauti ya hiyo ziara ya samia na mbio za mwenge ni ipi ?
 
Mimi hata Sina shida ya kujua anaongea nini nachofurahia ni ushuhuda wa wabunge jinsi serikali imemwaga mabilioni ya pesa..

Mpaka unajiuliza wengine walikuwa wanafanya nini hasa ikiwa Rais Samia Ndio anatatua maji sasa, barabara,afya,elimu,kilimo nk nk?
 
Rais Samia yuko vizuri sana aisee tunajivunia kuwa na yeye maana amefanya mambo mengi sana aisee
 
Tofauti ya hiyo ziara ya samia na mbio za mwenge ni ipi ?
Watu walilalamika Rais anaenda sana nje ameanza kutembelea ndani bado mnalalamika au watu wengine hamjui mnataka nini, lazima Rais apite akague aone pesa anazozitoa zimefanya nini
 
Vitu vya maana watu hawachangii, wanasubiri waisifie kenya

Kenya ina sifa kuliko hii nchi inayoongozwa na majizi ya kura. Kuna raha ya kuingia madarakani kwa njia halali. Watu tunaona bora tujadili kwenye uchaguzi wa halali, kuliko kujadili haya maigizo ya mijizi ya kura.
 
hahahaha wanajishughulisha na mambo yasio wahusu

Kwa taarifa sasa hivi akija rais wa Kenya aliyepatikana kwa uchaguzi halali aitishe mkutano hapa nchini, na rais wa majizi ya kura na chakula kutolewe bure, rais wa Kenya atapata nyomi la ukweli bila hata burudani.
 
Mimi hata Sina shida ya kujua anaongea nini nachofurahia ni ushuhuda wa wabunge jinsi serikali imemwaga mabilioni ya pesa..

Mpaka unajiuliza wengine walikuwa wanafanya nini hasa ikiwa Rais Samia Ndio anatatua maji sasa, barabara,afya,elimu,kilimo nk nk?

Nimecheka, eti ushuhuda wa wabunge, unadhani kila mtu ana imani na wanachosema hao wabunge wa chama cha majizi ya kura?
 
Haihitaji Imani,nenda site..

Kwani wewe hujamuona huyo mbunge akitaja maeneo specific na wakati mwingine alikuwa anaonyesha akisema hapo nyuma..

Sio swala la Imani ni suala la kuona.Mbona mimi naona kama hivi 👇
 
Attachments

  • Screenshot_20220812-170839.png
    Screenshot_20220812-170839.png
    212.8 KB · Views: 4
  • Screenshot_20220812-104925.png
    Screenshot_20220812-104925.png
    305.9 KB · Views: 5
  • Screenshot_20220812-104856.png
    Screenshot_20220812-104856.png
    259.9 KB · Views: 6
  • Screenshot_20220812-104841.png
    Screenshot_20220812-104841.png
    268.4 KB · Views: 5
  • Screenshot_20220804-134534.png
    Screenshot_20220804-134534.png
    127.7 KB · Views: 6
  • Screenshot_20220804-134611.png
    Screenshot_20220804-134611.png
    214.8 KB · Views: 4
  • Screenshot_20220804-134700.png
    Screenshot_20220804-134700.png
    124.9 KB · Views: 5
  • Screenshot_20220804-134220.png
    Screenshot_20220804-134220.png
    159 KB · Views: 4
  • Screenshot_20220804-134459.png
    Screenshot_20220804-134459.png
    127.8 KB · Views: 5
  • Screenshot_20220801-081753.png
    Screenshot_20220801-081753.png
    167.9 KB · Views: 5
Kodi zetu zinapotea hovyo kwa watu kuzurura
 
Back
Top Bottom