Kazi kwa vijana wawili

Kazi kwa vijana wawili

winchester

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2015
Posts
247
Reaction score
250
Ofisi mpya inahitaji vijana wawili, mmoja kwa ajili ya kusimamia duka la viatu (wakike) na mwingine ni kwa ajili ya mauzo ya insurance.

Ofisi ipo kinondoni vijana, Dar es salaam, mwombaji awe jirani na maeneo hayo awe na uwezo wa kuuza, kutumia computer kidogo na awe anajua tumia mitandao ya kijamii.

Malipa ni mshahara na commission, ambaye yupo tayari anicheki 0754200363
 
Mnatuma vizuri ila tukiweka maombi tunaanza kurushana tarehe kuweni serious maboss zetu
 
Back
Top Bottom