Leo naomba niwamegee story fupi!
Chanzo cha yote haya, niliwahi tokea kumzimikia mtoto mmoja nzuri sana enzi hizo akiwa beki3 maeneo ya tabata!
Nakumbuka nikiwa naanza maisha ya kujitegemea, nilipanga chumba maeneo ya Tabata!
Mwenye nyumba yetu alikuwa na bomba la maji hivyo watu walikuwa wanakuja kuteka maji kwetu!
Bahati nzuri koki ya maji ilikuwa karibu na dirisha langu hivyo nilithaminisha na kutazama kila aliyeteka maji maana sikuwa na kazi ya kufanya zaidi ya kucheck movie!
Wakati huohuo jirani yetu naye dirisha la sebule yake lilitazamana na dirishani la chumba changu!
Mara paap! Jilani yule akaleta msichana wa kazi alikuwa mrembo haswaah (beki3).
Basi kwasababu mama mwenye nyumba wake alikuwa mswahili basi alimlinda sana yule bek3 maana alijua fika wavimba macho hatuchezi mbali!
Nilijaribu kila mbinu ikabuma, nikawa navizia aje kuchota maji nipige misitari kwa dirishani lakini nilikwama kwasababu yule mama alikuwa kila akimwagiza bek3 kuja kuchota maji lazima naye aje achungulie dirishani hadi ndoo ijae!
Alikuwa mkavu sana yule mama alikaba kila kona;
Kama kijana mtaftaji nikajiongeza, nikaongea na mpangaji mwenzagu Mama J tulielewana sana, nikamwambia Fanya uwezavyo yule binti nimle!
Mama J akananijibu hilo halina neno, akaomba nimpe siku 3!
Bahati nzuri mama J ndiyo alikuwa anawasuka nywele majirani hivyo kwa chansi hiyohiyo nikapita nayo!
Nikafanikiwa kuutafna ule mzigo (bek3), kiukweli beki3 alikuwa vizuri mno, hakuna mwanaume rijali angeruka kumtizama!
Baada ya kula nikaona kama sifaidi vizuri, nikaanza harakati kumrubuni ili niishi nae, tatizo likawa mawasiliano!
Nilikuwa na simu ya Siemens kidole nikamwambia yule beki3 kwamba, ningempa ile simu, lakini kabla nilimwambia akampange kwanza bosi wake kuwa "mshahara wake wa mwisho wa mwezi anatarajia kuongeza kwenye mpango wake wa kununua simu ili kuwasiliana na wazazi wake"
Kweli mwisho wa mwezi ukafika nikampatia Siemens yangu nikachomoa laini,
Nikawa na mpigia kwa simu ya mama J tunabonga sana!
Lakini ajabu nikawa kila nikimpigia lazima nikute simu inatumika busy, nikajifariji labda ni ndugu zake!
Kadri siku zilivyosonga nikapata simu nyingine Philips!
Nikamwambia sasa wewe Fanya ujuavyo uhame, akasema gomz Kuna kaka yake hivyo angeenda huko.
Tukakubaliana akiwa kule Mimi nitamchukulia huko kwa kaka yake!
Ebwanae yule binti alipotoka pale simu yake ilizidi kuwa busy hatari kipindi hicho mobitel kuna offa za usiku!
Nikawa nahangaika sana kumpata, kuna wadau kibao wengine na magari yao tukawa tunashindana!
Nikagundua kumbe Mimi ndiye niliwarahisishia wavimba macho wengine namna ya kumpata yule binti baada ya kumpatia ile simu!
Lakini sikukata tamaa! Nikaendelea kupiga,
Siku Nikampigia alichelewa sana kupokea baadae alipopokea akaniambia siku ile angewezakuja tuonane!
Nikasubiri hadi magharibi kimya!
Baadae nikaja kumpiga akapokea lakini nikawa nasikia upepo pyuupyupyuuu nikawaza huyu Leo yuko beach au wapi! Bahati nzuri akapita mtu akamsalimia kilugha nikasikia sauti ya kinyaturu kwenye simu, nikaanza kupata wasiwasi!
Siku ingine nikampigia tena nikasikia upepo na watu wanaongea kilugha, nikajisemea huu upepo siyo wa dar huu lazima utakuwa wa mkoa huu!
Nikaammbana sana nikamwambia niko gongolamboto nimeulizia hadi nimepajua kwenu haupo, yule binti akasema ngoja nikwambie ukweli!....
Akadai aligombana na wifi yake akaamua kurudi kwao singida, lakini akaniambia jioni anaomba niongee na baba yake ili anijue ili akitoka huko aje kwangu!
Nikamwambia poa, kweli akanipa nikaongea na mashangazi jioni, na wajomba, na usiku nikapewa mzee nikaongea nae!
Wakaniambia wao hawana neno!
Baada ya siku kadhaa yule binti akasema nimtumie Nauli aje dar! Nikamwambia sawa, nikapambana nikapata nauli nikamtumia kwa njia ya basi ikafika!
Lakini sikuona cha binti wala mwanamke akija zaidi simu ikawa haipokelewi tena, Mara chache alikuja kupokea tukaongea kidogo akanikatia!
Nikalala chali natafakali sana, lakini nikasema mwanaume kupambana!
Jioni nikapiga akapokea jamaa akaniambia wewe unapiga piga simu ya mke wangu wa nini, jamaa akaniambia yuko ngarenalo na huyo binti kamuoa kutokea singda!
Ikabidi nirudi kwa mjomba yule ndugu yake kwasababu tulikuwa tunaelewana sana, mjomba akasema ngoja nikirudi toka misigiri nitakupa taarifa kamili!
Baada ya siku mbili mjomba akanipigia akasema, huyu binti karubuniwa na shangazi zake, walikula hela ya jamaa mhunimhuni huko arusha, ndo wamemtumia huyu binti, lakini Mimi kama mjomba sitaki huu upuuzui KAMA UNAMTAKA HUYU BINTI NIPE SIKU TATU NAMFUATA HUKO ARUSHA KESHO NAPANDA basi MTEI asubuhi mapema.
Yule mjomba kweli baada siku NNE nikaona simu yake akaniambia ongea na mwanamke wako huyu hapa!
Yule binti nikaoongea naye, akawa analia akisema Shangazi zake walimrubuni kuwa Arusha kuna kazi wamemtaftia, kumbe walikuwa wakimpeleka kwa mwanaume!
Akasema mwanaume mwenyewe mbabe anapiga vitasa hatari!
Hivyo akaomba either nimfuate singida au nitume nauli!
Kwasababu nilimpenda yule binti nikaitia sawa ngoja nitafte nauli!
Baada ya siku tano nikapigiwa na simu nyingine na mwanamke, kuambiwa yule binti kama Nina mpango wa kumchukua nikae nikijua ameshatolewa mahari na wanaume wengine, hivyo yeye ni Dada wa huyo mwanamme mwingine, kwahiyo nikimchukua wataniroga!
Sasa nikaona disco limeingia Masai, nikawa mpole nikaanza kujitoa taratibu!
Wakawa wanauliza mbona hutumi nauli nikawajibu natafta!
Baadae nikaambiwa yule binti anaujauzito hivyo hata wale walomtolea mahali wakawa hawamtaki!
Wakanipigia kuomba niwarudishie mahali waniruhusu kumchukua, nikamwambia nyie chukueni tu mistaki tena!
NOTE! Shida na ligi zote hizo nilizipata chanzo ilikuwa kumpatia simu la sivyo vumbi lote hili nisingeona!
BAADAE TENA Nikapataga mwanamke mwingine mtulivu sana, alitulia, alikuwa msomi wa chuo, baada kukosa ajira akalilia sana nimfungulie biashara afanye kazi, nikamfungulia, lakini kupitia biashara hiyo hiyo alivyoanza kukutana na watu, Baadae nikagundua anatafunwa na jamaa ambaye alikuwa mteja wake, kiufupi hakuna rangi sikuacha kuona!!!
Hadi sasa naamini wanawake hao wawili chanzo ni simu na kazi!
Wema wangu kumbe Nilijikaanga kwa mafuta yangu mwenyewe kutengeneza maadui wasio wa lazima!