Kazi na simu ni sawa na nyama ya nguruwe hujikaanga yenyewe

Kazi na simu ni sawa na nyama ya nguruwe hujikaanga yenyewe

Nikitafakali X
nikitafakari ✓
Ngarenalo X
Ngarenaro ✓

Sasa bwana mdogo ni hivi we tafuta pesa alafu usiwe na shobo na mademu , kuwa mtu peace, humble, fata mambo yako , yani kuwa hardcore mstaarabu na usiwe sharobaro/bishoo alaf usiwe mtu wa shoboshobo uone jinsi watakavyo jileta wenyewe had utakua wengine unawakataa.
Lakin ukiwa mtu wa shoboshobo kila sketi unaipa thaman ya moyo wako utajikuta kila siku hufanikiwi unamalizia hela kwenye kunufaisha malaya.
 
Nikitafakali X
nikitafakari ✓
Ngarenalo X
Ngarenaro ✓

Sasa bwana mdogo ni hivi we tafuta pesa alafu usiwe na shobo na mademu , Yan kuwa mtu peace, mstaarabu, fata mambo yako , kuwa hardcore mstaarabu na usiwe sharobaro alaf usiwe mtu wa shoboshobo uone jinsi watakavyo jileta wenyewe had utakua wengine unawakataa.
Lakin ukiwa mtu wa shoboshobo utajikuta kila siku hufanikiwi unamalizia hela kwenye kunufaisha malaya.
alafu> Halafu
yan>yaani
had>hadi

Asante kwa ushauri lakini sahivi Mimi dingi mkuu
 
Mwamba inaonekana bado unampenda, pamoja na madhila yote ulipambana kumtafutia tiba hongera sana mzee. Hebu tupe muendelezo najua lazima uliendelea piga mzigo.
Hakika mkuu, nilikuja kuambiwa baadae alichanganyikiwa akawa kichaa anazagaa stendi Dodoma,
Nikajakwenda kujionea laivu! Story yake nitaijazia!
Lakini ilibidi nitafte waganga wakamtibia akapona!
 
Mwamba inaonekana bado unampenda, pamoja na madhila yote ulipambana kumtafutia tiba hongera sana mzee. Hebu tupe muendelezo najua lazima uliendelea piga mzigo.
Hamna mapenzi siyo vita!
Ukiachana na mpenzi haina maana ukimkuta anazama mtoni ndo usimtoe!

Mke wangu wa sasa ndiye aliyeshauri tumpeleke yule mama kwa mganga!
 
kuwa makini na mwanamke unayekutana naye akiwa na shida au akiwa na raha sana.
 
Back
Top Bottom