Kazi ni Ile inayokuingizia Kipato. Mama au Baba wa nyumbani siô Kazi kwani Hakuna kipato kinachozalishwa.

Mke ni Kwa ajili ya kuniskiza Mimi na sio kingine.

Sasa Robert eleza unaingiza mapato milioni ngapi Kwa mwezi tuone hapa.

Wewe kinachokusumbua hauna hela.

Na nchi za Watu wa dini flani zimefanikiwa kuwa na udhibiti wa maadili Kwa udhibiti wa Wanawake.

Mwanamke ni mtu wa kuongozwa, wewe huyo wako Kwa akili zako za kuyumbayumba nakupa muda utakuja kulia humu Jamiiforums.
 
Alafu tumia herufi rasmi katika maandishi yako maana huelewi.

Sasa ukiwa na kampuni unalipa wafanyakazi mshahara Ina maana wamefanya majukumu Yako si ndivyo?

Ndîo.
Sasa hoja yangu ndio umejileta mwenyewe, ni hivi ule mshahara unaomlipa mfanyakazi wa ndani ilitakiwa umlipe mke wako ambaye ni mama wa nyumbani (japo huo mshahara huwa ni mdogo kulinganisha na kazi inayofanyika)

Unajua maana ya Mwanamke kuitwa Mke?
Wewe unavyomhudumia na kuhudumia familia yako unalipwa na Nani?

Mbona unazidi kujidhalilisha Hapa Mkûu.
na Kwa hivyo tukubaliane kuwa Mama wa Nyumbani ni kazi kama zingine ni upofu wako au una njaa ya Hela sa unataka kulelewa kapambane kijana acha kushika cm Kila muda hauli internet waves.

Mwishowe usemè Mzazi naye anatakiwa alipwe Kwa Kukuzaa na kukulea.
Hivi unaelewa hata unachokielezea?

Mke anafanya wajibu wake kutunza familia yake kama Mume afanyavyo na hapaswi kulipwa Kwa sababu anajitumikia mwenyewe.
NI Mume wake ndîo maana halipwi.
Hawara na makahaba ndîo yanalipwa Kwa sababu yanatoa huduma Kwa Mtu àmbaye hamhusu.

Ufaulu wako unanifurahisha Sana Mkûu.

Mkeo akikuogesha Huwezi ukamlipa Kwa sababu wewe NI Mumewe, NI sehemu ya vitu vyake.
Wewe ukimuogesha Mkeo hawezi kukulipa Kwa sababu NI Mkeo.

Wàpi uelewi?
 
Hakuna kitu kama ukombozi wa Mwanamke. Ni jamii kukosa mwanga.

Mwanamke ni mtu wa kuongozwa.

Wewe unataka Mwanamke afanye kazi Ili usimnyanyase?
Hiyo inaonesha hujui thamani ya mke ni ipi!
Hujui na ndio maana unachukulia mke kama Mtaji wa maisha Yako.

Tusiingie kwenye huo mjadala sihitaji.

Mila nazishika zinazonifaa kijana.

Aliyeambiwa atazaa Kwa uchungu ni nani na aliyeambiwa atakula Kwa jasho ni nani na aliyeambiwa atakwenda Kwa mguu ni nani?

Lakini huna ajira Wala Hela utafanyaje zaidi ya Mimi kukuajiri?

Unaingiza milioni 10, 20, 50, Kwa mwezi mke anaenda kufanya kazi Ili iweje?

Akaajiriwe na boss mwingine huko Ili iweje?
 
Mke ni Kwa ajili ya kuniskiza Mimi na sio kingine.

😆😆
Kwani akifanya Kazi hakusikilizi.
Unapenda kuabudiwa siô.
Ninyi ndîo Mnaoa Wanawake Kisha mnafanya mpaka maamuzi ya kipuuzi alafu Kwa vile Mke Hana kipato na mtumwa wako anabidi afe na tai shingoni
Sasa Robert eleza unaingiza mapato milioni ngapi Kwa mwezi tuone hapa.
Unàtaka nikuhonge au unatakaje?
Ungekuwa Mwanamke ningekuonyesha Kwa maana ningepata chochote kitu.

Wewe kinachokusumbua hauna hela.
Ulisema unaufaulu Sasa umeleta mambo ya Pesa😃😃
Kwa hîyo unanishinda ufaulu na Pesa?😊
Na nchi za Watu wa dini flani zimefanikiwa kuwa na udhibiti wa maadili Kwa udhibiti wa Wanawake.
Dini Ipi?

Mwanamke ni mtu wa kuongozwa, wewe huyo wako Kwa akili zako za kuyumbayumba nakupa muda utakuja kulia humu Jamiiforums.

Kwani akifanya Kazi Huwezi kumwongoza?
Ninyi Wanaume weñye Akili ndogo na msiojiamini ndîo Mnaogopa Wanawake weñye Elimu na Kazi Kwa sababu hamna upeo WA kuwaongoza.

Mwanamke anaweza kuwa Rais na Msomi na akaongozwa na Mwanaume asiye na cheo na àmbaye hajasoma lakini Mwanaume huyo sharti awe na Àkili.

Sasa kama wewe umefaulu n unashindwa kumwongoza Mwanamke anayefanya Kazi, huo ufaulu wako ulifaulu vipi?

Mtume Muhammad nakujua kusoma Wala kuandika, alikuwa yatima na asiye na kipato lakini alimwoa Mwanamke mfanyabiashara Aitwaye Khadija. Kwa sababu Muhammad alikuwa Mwanaume mwenye Akili.
 
Sikiliza Toka mwanzo nimesema mama wa nyumbani ni kazi kama kazi zingine. Sawa?

Na inazalisha pesa nyingi kuliko kazi zako, ukitaka kuamini angalia maisha ya mabachela na ya waliooa utaona tofauti kuanzia afya nk.

Nikasema ndio maana mahakama hugawa Mali MKITENGANA, inazalisha.

Huwezi kumlipa mke kwakuwa Ile ni mission Zaeni... Mkaongezeke, ni mission ya pamoja...
Unajua Mimi Nina kazi Niko katika miradi yangu naishia hii post.

Ninyi ndio wale mwisho wa siku Huwa mnatembea na mahouse girl wenu kwakuwa wake zenu hawawazingatii.

We bana tafuta Hela kwanza. Tafuta Hela alafu usipende kuwaza Hela za Wanawake Zina matatizo kijana.

Hela za mke wako ni sawa na Hela za ndago achana nazo. Chunga tamaa mbaya.

Ni kweli hauna ajira Wala pesa Mimi si nakufahamu..!
 
Hakuna kitu kama ukombozi wa Mwanamke. Ni jamii kukosa mwanga.

Mwanamke ni mtu wa kuongozwa.
Naomba nikuulize, wewe Kwa upeo WA Akili yako, mwanamke akifanya Kazi Huna uwezo wa kumwongoza? Yàani atakuzidi maarifa?

Wewe unataka Mwanamke afanye kazi Ili usimnyanyase?
Hiyo inaonesha hujui thamani ya mke ni ipi!
Wewe ndîo hujui Hata maana ya Mke NI nini achilia mbali thamani yake.

Hujui na ndio maana unachukulia mke kama Mtaji wa maisha Yako.
Ufaulu huu😃

Tusiingie kwenye huo mjadala sihitaji.

Mila nazishika zinazonifaa kijana.
Mila zîpi?
Jamii Karibu zote Afrika Wanawake siô Mama WA nyumbani wanafanya Kazi. Wewe umetoka Mila gàni?

Wamama walikuwa Wakulima, Wafugaji, watengeneza vyungu, ukili na Mapambo
Nenda usukumani, nenda Umasaini, nenda Ukuryani, nenda Unyakyusani, nenda uchaggani kama utakuta msamiati wa Mama WA nyumbani, Hakuna msamiati kama huo kwèñye kamusi za jamii nyingi.

Hiyo Elimu yako inazidi kuonyesha ilikutia ujinga

Aliyeambiwa atazaa Kwa uchungu ni nani na aliyeambiwa atakula Kwa jasho ni nani na aliyeambiwa atakwenda Kwa mguu ni nani?
Kazi siô adhabu Mkûu Acha kujichanganya.
Kufanya Kazi Kwa kuhangaika(jasho) ndîo adhabu.
Mwanamke Kazi lazima Afanye lakini asifanye Kwa kuhangaika kama Mwanaume.
Kwèñye suala la upeo wa kufikiria upo below average.

Soma na Hapa sasa
Kutoka 20:8-9
[8]Ikumbuke siku ya Sabato uitakase.
Remember the sabbath day, to keep it holy.
[9]Siku sita fanya kazi, utende mambo yako yote;
Six days shalt thou labour, and do all thy work:

Hiyo Amri ya Mungu Kwa Watu siô Kwa Wanaume.

Soma Hapa;
Mithali 31:10-23
[10]Mke mwema, ni nani awezaye kumwona?
Maana kima chake chapita kima cha marijani.
Who can find a virtuous woman? for her price is far above rubies.
[11]Moyo wa mumewe humwamini,
Wala hatakosa kupata mapato.
The heart of her husband doth safely trust in her, so that he shall have no need of spoil.
[12]Humtendea mema wala si mabaya,
Siku zote za maisha yake.
She will do him good and not evil all the days of her life.
[13]Hutafuta sufu na kitani;
Hufanya kazi yake ya mikono kwa moyo.
She seeketh wool, and flax, and worketh willingly with her hands.
[14]Afanana na merikebu za biashara;
Huleta chakula chake kutoka mbali.
She is like the merchants' ships; she bringeth her food from afar.
[15]Tena huamka, kabla haujaisha usiku;
Huwapa watu wa nyumbani mwake chakula;
Na wajakazi wake sehemu zao.
She riseth also while it is yet night, and giveth meat to her household, and a portion to her maidens.
[16]Huangalia shamba, akalinunua;
Kwa mapato ya mikono yake hupanda mizabibu.
She considereth a field, and buyeth it: with the fruit of her hands she planteth a vineyard.
[17]Hujifunga nguvu viunoni kama mshipi;
Hutia mikono yake nguvu.
She girdeth her loins with strength, and strengtheneth her arms.
[18]Huona kama bidhaa yake ina faida;
Taa yake haizimiki usiku.
She perceiveth that her merchandise is good: her candle goeth not out by night.
[19]Hutia mikono yake katika kusokota;
Na mikono yake huishika pia.
She layeth her hands to the spindle, and her hands hold the distaff.
[20]Huwakunjulia maskini mikono yake;
Naam, huwanyoshea wahitaji mikono yake.
She stretcheth out her hand to the poor; yea, she reacheth forth her hands to the needy.
[21]Hawahofii theluji watu wa nyumbani mwake;
Maana wote wa nyumbani mwake huvikwa nguo nyekundu.
She is not afraid of the snow for her household: for all her household are clothed with scarlet.
[22]Hujifanyia mazulia ya urembo;
Mavazi yake ni kitani safi na urujuani.
She maketh herself coverings of tapestry; her clothing is silk and purple.
[23]Mume wake hujulikana malangoni;
Aketipo pamoja na wazee wa nchi.
Her husband is known in the gates, when he sitteth among the elders of the land.

Alafu kasome na Kutoka 20:8,9
Alafu uje hapa

Lakini huna ajira Wala Hela utafanyaje zaidi ya Mimi kukuajiri?
Kwa sababu unatumia jina Fake unaweza kuajiri kîla MTU humu Mpaka Rais unaweza kumuajiri Hilo hakuna atakayebisha.

Ila kwèñye uhalisia unafanana na ufaulu wako 😆😆
Unaingiza milioni 10, 20, 50, Kwa mwezi mke anaenda kufanya kazi Ili iweje?

Kufanya Kazi haimaanishi unaingiza kitu gàni. Kufanya Kazi NI kuyapa Maisha maana. Kufanya Kazi ni kuonyesha tija yako Kwa Wengine.
Wewe ufaulu wako unakutuma kuwaza Milioni 10, Watu NI mabilionea na wake zào wanafanya Kazi wewe unazuzuka na MILIONI àmbayo hujawahi kuishika
Akaajiriwe na boss mwingine huko Ili iweje?

Wewe si ndîo unaajiri Watu Kwa ID fake, muajiri Mkeo.
 
Unajua nimekwambia tuma cv Yako acha kelele...

Mwanamke ni mtu wa kuongozwa awe ana ajira au la.

Usihamevkwenye hoja ni kuwa Mimi nakupinga, nasema mama wa nyumbani ni kazi kama zingine.

Na kama unamnyanyasa mke wako Kwa kuwa ni mama wa nyumbani bas hujui kwanini ulioa.

Wewe na wale wanaozaa Ili watoto wake kuwasaidia wakizeeka mko kundi Moja.

Mama yangu alikuwa ni mfanyakazi wa Serikali, baba yangu alikuwa na kazi yake pia.

Mama alikuwa akilipwa mshahara huko kazini sawa?

Ninaelewa ninachoongea ni kuwa Mama wa Nyumbani ni kazi kama zingine.

Wewe na wenzako huwaita magolikipa, na naamini mpira hamuujui kwa maana hamjui umuhimu wa golikipa ni upi.
 
Sikiliza Toka mwanzo nimesema mama wa nyumbani ni kazi kama kazi zingine. Sawa?
Embu kokotoa kisheria Kazi unazofanya kwaajili yako au familia yako unatakiwa kulipwa kiasi gani na Nani akulipe?

Na inazalisha pesa nyingi kuliko kazi zako, ukitaka kuamini angalia maisha ya mabachela na ya waliooa utaona tofauti kuanzia afya nk.
Unajua wewe NI Msomi mwenye ufaulu Mkubwa ujue. Hivi serikali kupitia sensa inapokuuliza unafanya Kazi gani utaweza kusema Kazi yako ni baba au mama wa nyumbani? Si utasema sina Kazi yàani wewe NI jobless au tegemezi?

Kiuchumi Kazi NI Ile inayozalisha mapato.

Nikasema ndio maana mahakama hugawa Mali MKITENGANA, inazalisha.
😃😃😃
Huwezi kumlipa mke kwakuwa Ile ni mission Zaeni... Mkaongezeke, ni mission ya pamoja...
Kumbe betri Ipo low lakini inachaji.
Ndîo hivyo Sasa, kûna majukumu ya pàmoja ya kifamilia lakini kûna jukumu la uzalishaji àmbalo kîla MTU anatakiwa kushiriki ili kuikuza familia na Ndoto ya kîla mwanandoa.

Mkeo naye anandoto zake kama kuwa Mwalimu, daktari, mwanasheria, Mkulima, mfugaji, msusi n.k.
Kwa nini umfanyie dhulma Kwa Jambo la pàmoja la Ndoa ilhali kwèñye mambo binafsi yako hajakuingilia
Unajua Mimi Nina kazi Niko katika miradi yangu naishia hii post.
Kwèñye ID Fake kîla MTU anakazi, anagari, na ameajiri Watu maelfu.
Hivyo upo Sahihi kabisa.

Ninyi ndio wale mwisho wa siku Huwa mnatembea na mahouse girl wenu kwakuwa wake zenu hawawazingatii.
Unaona ulivyo na Àkili ndogo Sasa. Kwamba hao Housegiri unawachukulia tofauti na wéwe? Housegirl anafanya Kazi anatafuta kipato NI afadhali Housegirl kuliko Mama WA nyumbani àmbaye hajui Kwa nini anaishi Duniani.

We bana tafuta Hela kwanza. Tafuta Hela alafu usipende kuwaza Hela za Wanawake Zina matatizo kijana.
Ufaulu huo na vyeti Feki vinakusumbua.
Kwa Akili yako kîla Mwanamke anayefanya Kazi anataka kuolewa au kuwa na Mwanaume si ndîo.

Huyo Mkeo akipata Mwanaume mjanja mjanja kama Mimi akapewa kipesa cha biashara hata ya saluni umekwisha Kwa sababu Hapo yupo jela ndogo
Hela za mke wako ni sawa na Hela za ndago achana nazo. Chunga tamaa mbaya.

Ni kweli hauna ajira Wala pesa Mimi si nakufahamu..!

Nimeshakutumia Maombi. ID fake inaweza kukufanya ukaajiri Dunia nzima hata kama NI jobless.
 
Ungekuwa unaelewa unachoongea usingejidhalilisha namna hii. NI kwamba hujui ukisemacho, na Unajiona upo Sahihi Kwa sababu upeo wako uko chini.

Kama ungekuwa walau na Àkili hata kisoda usingeshindwa kuelewa kile àmbacho Miaka nenda rudi serikali inapambana nacho katika kuhakikisha utegemezi katika jamii unaondoka, jitihada za serikali Kutoa nafasi Sawa za kuajiri na kuajiriwa Baina ya Mwanamke na Mwanaume, lakini Kwa sababu sio kosa lako kufikiri namna unavyofikiri kwani ndivyo upeo wako ulipoishia ndîo maana sikulaumu.

Baba yako hakuwa mjinga Kuoa Mwanamke mwenye kufanya Kazi íwe ya kuajiriwa au kujiajiri. Na babu yako hakuwa mjinga kumsomesha mama yako.
Na Serikali siô jinga kumuajiri Mama yako.
Sasa Hapo Mjinga NI Nani? Mjinga NI Yule àmbaye hajui NI Kwa nini Babu yake alimsomesha Mama yake, hajui Kwa nini Babaake aliruhusu Kuoa Mke mwenye Kazi, na hajui Kwa nini serikali ilimuajiri Mama yake. Huyo ndîye mjinga. Na Hana Makosa Kwa sababu ya upeo upo chini

Wewe na wenzako huwaita magolikipa, na naamini mpira hamuujui kwa maana hamjui umuhimu wa golikipa ni upi.
Mimi nazungumzia Mama WA nyumbani Asiyefanya Kazi yoyote ya uzalishaji. Hao magolikipa umeleta wewe
 
Kwamba Robert Heriel ni mjanja kiasi Cha kumchukua mke wangu?

Mjanja?

Mwanamke anaweza kumkubali Mwanaume bild ya kutegemea ujanja wa Mwanaume.

Ila kwenye wajanjs haupo kijana.

Hapa tunachoongea ni mama wa nyumbani kuwa sio kazi.

Na huku kichwani mwako ukiwaza kazi za ofisini.

Na Mimi nikakwambia Ile ni kazi ukaanza kuongea mambo ya vyungu na Nini.

Ni kuwa Toka mwanzo hukuipima mada Yako katika mzani.

Na Mimi ninajua kind mama wengi wa nyumbani wanafuga kuku nk, nk kwamba hawawezi kukaa bure.

Wewe bwana mdogo akili Yako ifungue...

Hata house girl watasimamia biashara ndogondogo, ama ufugaji wa broiler lakini mtaji imetoka Kwa Mwanaume.

Mimi nasimama kusema mama wa nyumbani ni kazi kama zingine na inaingiza mapato makubwa tu...
 
Kwamba Robert Heriel ni mjanja kiasi Cha kumchukua mke wangu?

Mjanja?

Mwanamke anaweza kumkubali Mwanaume bild ya kutegemea ujanja wa Mwanaume.

Nimekutahadharisha tuu Mkuu.
Hakuna Mwanamke mwenye Akili timamu àmbaye anataka Pesa ya Shikamoo. Wanawake wanapenda kuhudumiwa lakini hiyo haimaanishi kuwa wanataka kutojitegemea
Ila kwenye wajanjs haupo kijana.

Hapa tunachoongea ni mama wa nyumbani kuwa sio kazi.

Na huku kichwani mwako ukiwaza kazi za ofisini.
Wàpi nimesema Kazi za ofisi? Au ufaulu wako umekutuma hivyo?
Na Mimi nikakwambia Ile ni kazi ukaanza kuongea mambo ya vyungu na Nini.

Ni kuwa Toka mwanzo hukuipima mada Yako katika mzani.

Na Mimi ninajua kind mama wengi wa nyumbani wanafuga kuku nk, nk kwamba hawawezi kukaa bure.

Kama Wanafuga Kuku si wanafanya Kazi ya Ufugaji, au Kilimo.
Hao siô Mama wa nyumbani
Wewe bwana mdogo akili Yako ifungue...

Hata house girl watasimamia biashara ndogondogo, ama ufugaji wa broiler lakini mtaji imetoka Kwa Mwanaume.

Mimi nasimama kusema mama wa nyumbani ni kazi kama zingine na inaingiza mapato makubwa tu...
Betri Low hapa
 
Kazi ni Ile inayokuingizia Kipato. Mama au Baba wa nyumbani siô Kazi kwani Hakuna kipato kinachozalishwa.​

Huyo si ndio wewe?

Hukuongea masuala ya kutambulika na Serikali kama kazi rasmi.

Umesema haizalishi, haizalishi Nini? Pesa!

Robert bana Mimi nimekwambia ukiacha kufua ukapeleka dry cleaner unalipia ama hulipii?

Ukajibu unalipia.

Haya mlinzi ukamuweka alinde nyumba Yako unamlipa?

Bado huoni dry cleaner vs mke, mlinzi vs mke, mgahawa vs mke, huoni tu unakazana eti sio kazi.

Na kimsingi huko majumbani kuna maduka ya nyumbani ama genge ama shamba, Sasa Kwa sababu ya ubabe wako anafanya hayo na kwakuwa humlipi unaona eti sio kazi.
 
We Robert Heriel kabla ya kuja kupost manyuzi Yako humu Jamiiforums uwe unayapitisha kwangu kwanza niyakague maana unavamiavamia sana...
 
Hakuna tahadhari yoyote Mwanamke anaweza kutembea na Mwanaume yeyote pale anahitaji.

Katika suala la kuchapiwa Mimi siwezi Wazazi Hilo jambo.

Mtu nimemkuta na akili zake timamu mtu mzima, ndio maana kuna talaka mke sio mkono wako kijana...
 
Baàda ya kumzuia asifanye Kazi zakuzalisha ukamchoka unamuacha ili akateseke sio
 
Baàda ya kumzuia asifanye Kazi zakuzalisha ukamchoka unamuacha ili akateseke sio
Mimi naruhusu mahakama ifanye mgao vizuri tu Kwa sababu nilimtongoza mwenyewe sikulazimishwa na Mimi mwenyewe nikakwambia awe nyumbani Kwa hivyo ikitokea mgao wake ni halali sababu alikuwa akinihudumia.

Mungu alisema ni MSAIDIZI, msaidizi labda ni Secretary sio?

Unajua tatizo tunaforce mambo wakati Bwana Mkubwa alishaweka misingi na taratibu zote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…