Hakuna kitu kama ukombozi wa Mwanamke. Ni jamii kukosa mwanga.
Mwanamke ni mtu wa kuongozwa.
Naomba nikuulize, wewe Kwa upeo WA Akili yako, mwanamke akifanya Kazi Huna uwezo wa kumwongoza? Yàani atakuzidi maarifa?
Wewe unataka Mwanamke afanye kazi Ili usimnyanyase?
Hiyo inaonesha hujui thamani ya mke ni ipi!
Wewe ndîo hujui Hata maana ya Mke NI nini achilia mbali thamani yake.
Hujui na ndio maana unachukulia mke kama Mtaji wa maisha Yako.
Ufaulu huu😃
Tusiingie kwenye huo mjadala sihitaji.
Mila nazishika zinazonifaa kijana.
Mila zîpi?
Jamii Karibu zote Afrika Wanawake siô Mama WA nyumbani wanafanya Kazi. Wewe umetoka Mila gàni?
Wamama walikuwa Wakulima, Wafugaji, watengeneza vyungu, ukili na Mapambo
Nenda usukumani, nenda Umasaini, nenda Ukuryani, nenda Unyakyusani, nenda uchaggani kama utakuta msamiati wa Mama WA nyumbani, Hakuna msamiati kama huo kwèñye kamusi za jamii nyingi.
Hiyo Elimu yako inazidi kuonyesha ilikutia ujinga
Aliyeambiwa atazaa Kwa uchungu ni nani na aliyeambiwa atakula Kwa jasho ni nani na aliyeambiwa atakwenda Kwa mguu ni nani?
Kazi siô adhabu Mkûu Acha kujichanganya.
Kufanya Kazi Kwa kuhangaika(jasho) ndîo adhabu.
Mwanamke Kazi lazima Afanye lakini asifanye Kwa kuhangaika kama Mwanaume.
Kwèñye suala la upeo wa kufikiria upo below average.
Soma na Hapa sasa
Kutoka 20:8-9
[8]Ikumbuke siku ya Sabato uitakase.
Remember the sabbath day, to keep it holy.
[9]Siku sita fanya kazi, utende mambo yako yote;
Six days shalt thou labour, and do all thy work:
Hiyo Amri ya Mungu Kwa Watu siô Kwa Wanaume.
Soma Hapa;
Mithali 31:10-23
[10]Mke mwema, ni nani awezaye kumwona?
Maana kima chake chapita kima cha marijani.
Who can find a virtuous woman? for her price is far above rubies.
[11]Moyo wa mumewe humwamini,
Wala hatakosa kupata mapato.
The heart of her husband doth safely trust in her, so that he shall have no need of spoil.
[12]Humtendea mema wala si mabaya,
Siku zote za maisha yake.
She will do him good and not evil all the days of her life.
[13]Hutafuta sufu na kitani;
Hufanya kazi yake ya mikono kwa moyo.
She seeketh wool, and flax, and worketh willingly with her hands.
[14]Afanana na merikebu za biashara;
Huleta chakula chake kutoka mbali.
She is like the merchants' ships; she bringeth her food from afar.
[15]Tena huamka, kabla haujaisha usiku;
Huwapa watu wa nyumbani mwake chakula;
Na wajakazi wake sehemu zao.
She riseth also while it is yet night, and giveth meat to her household, and a portion to her maidens.
[16]Huangalia shamba, akalinunua;
Kwa mapato ya mikono yake hupanda mizabibu.
She considereth a field, and buyeth it: with the fruit of her hands she planteth a vineyard.
[17]Hujifunga nguvu viunoni kama mshipi;
Hutia mikono yake nguvu.
She girdeth her loins with strength, and strengtheneth her arms.
[18]Huona kama bidhaa yake ina faida;
Taa yake haizimiki usiku.
She perceiveth that her merchandise is good: her candle goeth not out by night.
[19]Hutia mikono yake katika kusokota;
Na mikono yake huishika pia.
She layeth her hands to the spindle, and her hands hold the distaff.
[20]Huwakunjulia maskini mikono yake;
Naam, huwanyoshea wahitaji mikono yake.
She stretcheth out her hand to the poor; yea, she reacheth forth her hands to the needy.
[21]Hawahofii theluji watu wa nyumbani mwake;
Maana wote wa nyumbani mwake huvikwa nguo nyekundu.
She is not afraid of the snow for her household: for all her household are clothed with scarlet.
[22]Hujifanyia mazulia ya urembo;
Mavazi yake ni kitani safi na urujuani.
She maketh herself coverings of tapestry; her clothing is silk and purple.
[23]Mume wake hujulikana malangoni;
Aketipo pamoja na wazee wa nchi.
Her husband is known in the gates, when he sitteth among the elders of the land.
Alafu kasome na Kutoka 20:8,9
Alafu uje hapa
Lakini huna ajira Wala Hela utafanyaje zaidi ya Mimi kukuajiri?
Kwa sababu unatumia jina Fake unaweza kuajiri kîla MTU humu Mpaka Rais unaweza kumuajiri Hilo hakuna atakayebisha.
Ila kwèñye uhalisia unafanana na ufaulu wako 😆😆
Unaingiza milioni 10, 20, 50, Kwa mwezi mke anaenda kufanya kazi Ili iweje?
Kufanya Kazi haimaanishi unaingiza kitu gàni. Kufanya Kazi NI kuyapa Maisha maana. Kufanya Kazi ni kuonyesha tija yako Kwa Wengine.
Wewe ufaulu wako unakutuma kuwaza Milioni 10, Watu NI mabilionea na wake zào wanafanya Kazi wewe unazuzuka na MILIONI àmbayo hujawahi kuishika
Akaajiriwe na boss mwingine huko Ili iweje?
Wewe si ndîo unaajiri Watu Kwa ID fake, muajiri Mkeo.