Kazi nilizowahi zifanya na zikanishinda kwenye utafutaji

Hatareeeeeeee
 
KAZI NGUMU ILIYOSIMULIWA HUMI NI UPAGAZI / KUBEBA MIZIGO MLIMAN ,. DAH. WAHUSIKA NAAMINI WATAKUJA KUTOA USHUUDA
 
Mkuu endelea aise...🤣🤣🤣
 
Picha linaanza nimemaliza kidato Cha sita ivyo nasubilia majibu sasa nilikuwa na uhitaji wa smart phone [emoji1787][emoji1787] basi ikabidii niingie mtaani kupiga kazi yoyote ile maana Mama alikuwa ana wazo la kuninunulia smart phone mpaka matokeo yatoke so nikaona apa nitachelewa [emoji1787][emoji1787]

Kazi ya kwanza
Ilikuwa ni kusuka umeme majumbani ivyo nilikuwa saidia fundi sasa kabla ya kusuka ilibidi tuchimbe ukuta ili Bomba ziwe ndani ya ukuta kwa usalama zaidi, tulipata site Moja pande za Isyese Mbeya daah zile tofali za block zilikuwa baraa maana zilitoka pale JKT Itende Yan kitu inch 6 halafu ni ngumu kinoma sasa wakati wa kuchimba inabid utumie kishoka na nyundo, ule ukuta ulikuwa hatari maana kila nikipiga kishoka zinatoka cheche tuu plus na vumbi akuna Cha kipande Cha tofari Wala nn Yan chumba kimoja nilikuwa natumia ata siku nne kuchimba sasa ukifika kwenye lenta apo ndio unasanda maana sio kwa ile zege na ndono zilivyo sukwa apo [emoji1787][emoji1787][emoji1787] lkn yote kwa yote ngoma iliisha kwenye upande wa mikono ilikuwa aiwezi kushika kitu chochote Yani ilikufa ganzi kabisa kama siku tatu ivi

Kazi ya Pili
Kutoa mawe barabarani na kufungulia maji [emoji1787][emoji1787][emoji1787]. Ipo ivi Kuna barabara ipo Mbalizi pale standi then unaenda kwenye Kijiji Cha Izumbwe so iyo barabara ilikuwa inajengwa kwa kiwango Cha vumbi kwa ulefu wa 10 Km ivyo ilikuwa ni kazi ya miezi ivi, ivyo asubuhi nilikuwa naenda saa kumi na Moja ili nikawashe pump ya kutia maji mtoni sasa iyo baridi yake then inabid niingie mtoni kuweka pipe ili ivute maji Yan ilikuwa hatari maana maji ya baridi then kunamuda maji yalikuwa yanafika hadi kiunoni sasa colodani zinavyo umaa nilikuwa hadi natoa machozi maada sio poa [emoji1787][emoji1787]
Kwenye kutoa mawe barabarani ilikuwa ndio noma maana matusi kama yote plus mawe mengine mazito ivyo inabid uende kwa kasi sana ili gari la maji lisisimame maana maji yatapotea nakufanya malengo yasitimie so ikafika kipindi nikawa nalala kwenye gari maana siwez kulid tena nyumbani kwasababu ni mbali iyo baridi yake usiku hatari lkn malipo kwa siku ilikuwa 7500 sasa matokeo kumbe yametoka Mimi sina habari so Kuna siku nimekaa na engineer Mkuu akawa anaongelea kuhusu matokeo ya form six then nikamwambia Mimi pia nimemaliza duuh akashangaa maana inakuwaje nafanya kazi kama izo maana ni very risk so nikamtajia namba akaangalia faster akasoma matokeo nilikuwa nimefaulu then jamaa akasema kwanzia Leo utakuwa unakagua ujenzi wa barabara na uwekaji wa mafuta ivyo tafuta lodge yoyote ile nitalipia [emoji39][emoji39]
So nilianza kuishi maisha ya kitajili but wadau walikuwa wanasoma uwivu sana kwa siku nikawa nalipwa 25000 plus malupulupu ya mafuta maana snake ilikuwa inausika sana mida ya jion dumu Moja nilikuwa nauza 36000 kwa kipindi icho maana ilikuwa ni Diesel ivyo nilikuwa sikosi pesa ya dumu mbili kwa siku
Tulivyo maliza kujenga barabara nikaludi nyumbani then kesho yake nikaenda kwa Mtawa Phone pale ilomba nikanunua kitu Cha Techno Boom J8 kwa thamani ya 270,000 [emoji91][emoji91][emoji91]
 
Mkuu funguka vizuri..huko njiani kuna changamoto zipo
 
Mkuu umetisha sana, hivi kuna wanawake ma porter? Hao jamaa daaa, huruma sana , jamaa kama wakimbizi miziko hadi kichwana maisha hayako fair.
Ndio wanawake wapo mkuu, wana roho ngumu si mchezo ila wanaheshima sana nadhani zile tabu za mlima zimewafunza kuwaheshimu wanaume watafutaji

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umenikumbush mbali, Boom j8 ndio sim yngu ya kwanza kumiliki
 
*Nikaona majamaa wawili wameingia wanachukua vyuma vyuma ambavyo ni 1 ya vitu niliambiwa nilinde, siwezi sema lolote nawaangalia mkojo umenibana, roho inadunda inataka kuchomoka. Ghafla nawaona wengine wawili wanatokea wakawa wanne ila hawa wawili walikua na nondo wamezishika na mwingine kashka kishoka.

Mkojo ukazidi kunibana nikawa naona hii leo ndio mwisho wangu, kupigana siwezi mimi hawa watu wote nawafanyaje? Hapo store kulikua na pipa nikadumbukia, ila kabla sijadumbukia nikawapigia kelele wajamaa nikawaambia "NYIE TOKENI HAPO" halafu nikadumbukia kwenye pipa nikajifunika*

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]nyie
 
Uanaume mateso. Yale ma mbwa ya kule Dodoma yananenepa tu makalio na matumbo yanagonga meza.
Kazi za nguvu kwa nguvu sio kazi ni unacheza na kifo. Mtu unafanya mapenzi unasinzia kwenye mlango wa uke. Wakitoka hapo wanasema hatuna nguvu za kiume. Kazi unafanya mpaka viungo vinakosa mawasiliano

Siwezi kumdhulumu wala kumpunja anayepiga kazi ngumu.
 
Maeneo ya mzinga [emoji16][emoji23][emoji28][emoji28]
 
Maeneo yenu ya Morogoro hayana mwisho, unaweza ukasafiri kwa elfu 40 ndani ya wilaya moja
Nature ya mkoa wa Morogoro umekaa kiurefu zaidi rejea ramani ya Mikoa ya Tz . Moro sio pana ila ni ukubwa wake upo kiurefu zaidi
 
Mwamba richie ze best inaonekana kule kauzeni Ni wakulima wazuri Sana wa miwa hasa kuanzia pale Magadu kwenda mbele kule Mzinga
Sijui kwa wakati huu,ila kwa miaka ile nadhani wakulima walikua wengi.
Huyo mzee nili enda kwake ana shamba kubwa mno sijui kama kabadilisha kilimo.

Kongole kwako unaonekana unayajua hayo maeneo vyema.
 
Cement sio poah.
 
Umeongea point sana.
 
[emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…