Kazi nilizowahi zifanya na zikanishinda kwenye utafutaji

Piga shoka,piga jembe, kata mizizi, chimba kwa hatua wapi[emoji23][emoji23] nimependa usimuliaji wako

Jamaa ni story teller mzuri sana. Explaining real life experience in form of storytelling, sio kila mtu ana huu ujuzi.
 
mnisamehe wale wateja wangu wote mliowahi kuingia kwenye anga zangu za uganga wa kienyeji, zilikuwa njaa tu zile na tamaa zenu ndio ziliwaponza.

Mungu awabariki wote, tupambane kutafuta ridhki bila kudhuru na kuharibu maisha ya wengine, mwisho wa siku kila mtu anafamilia nyuma inamtegemea.

Uzuri Mwafrica akifika kwa mganga anakuwa fala sana hata ukimwambia atoe sadaka kwa mizimu asiyoijua yeye anatoa tu eti apande cheo kazini, wengine kumamazao eti wapendwe na waume zao, hawa nilikuwa nawapenda sana walipigika kirahisi ila nilikuwa mwiko kuwagonga vihela nilitafuna sana.

Picha linaanza unapanga chumba uswazi, usiku mikwara ya kujifanya unapandisha majini dah lazima waje, mwanangu bob chura popote ulipo ulikuwaga mzimu kumamae zako, makolo tuliwapiga sana.
na zile lugha ulinifundishaga kumamae, tukawapiga sana hela za kwenye bahasha mixer mishumaa na masizi ya mkaa plus stayle yetu yakuleta saa, Ila bongo bado primitive sana aisee.

Siku nikifurahii nitawaletee story yangu humu tutaiita rise and fall part 1 na me and my best friend part 1 tulikubaliana kuvunja urafiki ili wote tubadirike maana tungekaa pamoja tungeweza hata kupewa kesi ya uhaini.,
Mganga mwenzetu kiazi kitamu cha kiluguru aka maruhani ya korelo, mtengenezaji wa bikra,.... Bikra ikaleta ndoa nasisi tukapiga hela, ndoa hizi balaa sana.
 
Uganga ndio kazi pekee ambayo unaweza kulipwa bila mteja kuona matokeo,

mtaji wake ni maneno mengi na lugha zisizoelewa, ilizi zakufumafuma tu na ndani unaweka chochote kile hata mavi ya kuku, kaniki nyeusi na nyekundu, sanda kadhaa, vibuyu kadhaa kamba na kibuyu kimoja unakipa jina almaarufu kibuna.

mkwara siku ya kwanza target mmeshampimia akija mganga hafanyi kazi leo amepandisha majini makali hata kuona mtu kabisa, hapo unajifanya unakunywa damu ya paka na maiti ya paka mweusi iko pembeni, umazungusha kama wiki hivi, siku akija anakukuta mtulivu mpole unasikiliza shida zake zoote, halafu unashitaki kwa mzimu kibuna hapo bob chura kashafanya spying ya kutosha tushatumia na hela kadhaa dah mwamba kibuna anatema cheche balaa, target hapo anapigwa hela ys mahitaji afanyiwe kazi yake ikiwepo kucha za maiti wa siku 7 kidole cha mwisho, kipande cha mkia wa fisi, nk hapo mnakula kama 500K next move sasa alizima achojoke kadhaa at the end anakuwa chuma ulete.......hahahaha
 
Ilitakiwa kumwaga diesel sio yataa.
 
Nahizi shuhuda ni kama church tu, sema hapa zinakuja kwa njia ya vichekesho flani hv na burudani. Mungu aendelee kitupigania hakuna kuta tamaa.
 
We ni kijana wa mzee Mrina? hahaaaa eti shallow...wako.
 
Daaaah mkuu mwaga stori mwaga stori jinsi maboya yanavyopigika
 
abeba trip zote ile ya mwisho akajikuta kaingia period ghafla.Kilichomfanya abebe aongezee hela akalipe kibati.
sweet manka nimefurahi ila wakati nasoma nimekubali wewe ni mpambanaji uko na hustles za maana...

una mapito flani ya utafutaji toto la kiume lililokaa kindezi ndezi haliwezi fukuzia huo moto wake... Keep it up Super woman...
 
Jamaaa we ni fala aisee ko mwana dege dege ukamtafuta alipo alooo nimecheka sana aiseee mwamba umepitia mengi lakin inaonesha hupendi shida aisee mana kila ikifikia pagumu unapotea aiseee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…