Lucas mwangomola
Member
- Jan 3, 2018
- 34
- 39
Nilibeba block kama 100+ sasa ile natembea nikashangaa misuli imekaza aisee nililiachia kama lilivo alavu ilikua kwenye msingi uliojemgwa nikasema liwalo na liwe bahat nzuri msingi haukuvunjika maana tofali zilikua imara. Hii kazi achaga tuMimi nilipata muscle strain we acha tu
Nikaipiga chini
Daah hii ishu ya degedege kuna mwana ilimkuta wakati tunasubiri mchina atufikirie kiwandani kwake maeneo ya sokota kiwanda cha rangi, Jamaa mzima mzima akadondoka miguuni mwangu mara anavibrate uku anatoa mapovu mdomoni wee nilitaka kimbia sema kuna mshkaji wangu akanidaka nisikimbie then akamuwahi mwana kwenye mdomo Sijui Ili asijing'ate akawaambia na wengine wamshike miguu hali ya jamaa ilivyokaa sawa sikutaka kubaki apo kama kazi yenyew nkasema basi...Mimi nishawahi kutwa na msala wa gerezani wa kazi flani Ngumu sana kuifanya,nikaona huu ushenzi
hiii kazi nisipoangalia ntaja fia hapa hapa,nikaangalia huku na kule kisha nikajidondosha chini puuuu
nikaanza kurusha miguuu kama nina dege dege,huku natoa mapovu( hapo nishakusanya mate kibaooo)
nikawa nayatema kwa pembeni kidogo kidogo,nikaskia wana wanasema Oyaa huyu atakua ana dege dege
askari akaitwa akaja akasema mbebeni muwekeni pale kivulini,nilipopelekwa kivulini nikasema hapa nikitulia
tuu ntalishwa rungu kwa sana watanishtukia, basi nikazidisha drama nikajirusha kama jongooo nakwambia
askari akaona huu msala atatufia huyu,nikabebwa ikaitwa TAX dakwa speed hadi gerezani,kufika gerezani nikajifanya
napumua haaaaaa huku nakoromaa,ndio ikawa pona yangu ila bila ile tekniki Ningefia pale walahi vile...
Hicho kifafaDaah hii ishu ya degedege kuna mwana ilimkuta wakati tunasubiri mchina atufikirie kiwandani kwake maeneo ya sokota kiwanda cha rangi, Jamaa mzima mzima akadondoka miguuni mwangu mara anavibrate uku anatoa mapovu mdomoni wee nilitaka kimbia sema kuna mshkaji wangu akanidaka nisikimbie then akamuwahi mwana kwenye mdomo Sijui Ili asijing'ate akawaambia na wengine wamshike miguu hali ya jamaa ilivyokaa sawa sikutaka kubaki apo kama kazi yenyew nkasema basi...
Tumekaa zetu maskani mara akaja jamaa yetu kasema kuna hela ya chap twendeni, kufika ni matikiti yamejaa chini kuna fuso kama tatu zinatakiwa kujazwa kwa safari ya Dar. Tukakubaliana dau, jamaa tunasema hii ni hela ya fasta aisee. Tukaanza tukiwa sita hivi, umakaa chini unamrushia aliyeko kwenye gari, nilirusha matikiti hadi nikahisi mabega yatachomoka. Huwezi amini hata fuso moja hatujaza, sijawahi kuchoka namna ile, yaani mikono ilikuwa mizito kiasi kwamba hata kunyanyua mkono kushika kichwa ilikuwa mbinde. Tukapewa kifuta jasho tukaondoka zetu.
Niliuza machungwa mitaa ya Tanga mjini, siku wife kanikuta mtaani Hadi ananionea huruma, nimepauka hatarii, mimi mweusi ila nimekuwa kama chungu kwa jua, yaani wie acha TU, hadi machozi yalimtoka
Kibo na mawenzi unapita kabisa, unaendelea kupanda juu kuitafuta uhuru peak huko ndo mziki mzee baba inafika stage unahisi kuharisha ila hakuna kinachotoka si mchezo, oxygen hakuna kabisa ukifika level flani ya mlima, huko mzungu anakojoa mbele yako unavua na kumvalisha chupi mwnyw maana hajiwezi yupo nyang'anyang'a
Sent using Jamii Forums mobile app
Polisi wa Tanzania ni vituko vitupu. Wanakuuzia kesi mchana kweupe!Kwenye ulinzi,sikia tuu niwepeleka mtumiwa kituoni nikageuziwa kesi nambiwa kabizi vitu hapa ingia ndani na wewe itakuwa mmeshindana masirahi na mtuhumiwa,ikabidi mwizi anitete lakini wapi,utulivu akajaimaliza mkuu wa kituo,jambo limeaza saa Tisa usiku nimekuja kuachiwa kumepambazuka Tena nambiwa kaoge uje tukutane mahakamani maana ni ulikuwa mradi wa serikali,nikazima na simu nikabeba na begi langu ikawa chanzo Cha kuhama mkoa,sijui ilikuwaje nyuma huku Kama walimuachia au walimfunga,ilaa tusikakate tamaa kiukweli.
Sent from my TECNO KB8 using JamiiForums mobile app
We unataka umtomberi sweet Mankasweet manka nimefurahi ila wakati nasoma nimekubali wewe ni mpambanaji uko na hustles za maana...
una mapito flani ya utafutaji toto la kiume lililokaa kindezi ndezi haliwezi fukuzia huo moto wake... Keep it up Super woman...
Mi nikikugundua lazima ni kurefi...Uganga ndio kazi pekee ambayo unaweza kulipwa bila mteja kuona matokeo,
mtaji wake ni maneno mengi na lugha zisizoelewa, ilizi zakufumafuma tu na ndani unaweka chochote kile hata mavi ya kuku, kaniki nyeusi na nyekundu, sanda kadhaa, vibuyu kadhaa kamba na kibuyu kimoja unakipa jina almaarufu kibuna.
mkwara siku ya kwanza target mmeshampimia akija mganga hafanyi kazi leo amepandisha majini makali hata kuona mtu kabisa, hapo unajifanya unakunywa damu ya paka na maiti ya paka mweusi iko pembeni, umazungusha kama wiki hivi, siku akija anakukuta mtulivu mpole unasikiliza shida zake zoote, halafu unashitaki kwa mzimu kibuna hapo bob chura kashafanya spying ya kutosha tushatumia na hela kadhaa dah mwamba kibuna anatema cheche balaa, target hapo anapigwa hela ys mahitaji afanyiwe kazi yake ikiwepo kucha za maiti wa siku 7 kidole cha mwisho, kipande cha mkia wa fisi, nk hapo mnakula kama 500K next move sasa alizima achojoke kadhaa at the end anakuwa chuma ulete.......hahahaha
Wengi wahovyoPolisi wa Tanzania ni vituko vitupu. Wanakuuzia kesi mchana kweupe!
Hii imenikumbusha jamaa alipewa tenda ya kung'oa mbuyu, naye vilevile alipouliza bei akaambiwa unataka upewe ngapi akasema nipeni elfu 80 tena aliamua aanzie bei ya juu ili wakishusha waangukie kwenye damu lake la elfu 60.. Bahati yake nzuri wakamwambia watampa hiyo 80 ila ndani ya siku 3 mbuyu uwe chini maana kuna ujenzi unataka kuanza. Jamaa anakuambia alichimba, alichoma moto huo mbuyu lakini mpaka siku ya 5 hata robo ya kazi badoo [emoji23] [emoji23] [emoji23]kuna miti unachimba kisiki,inafika muda unaacha kuchimba unabonyeza ule mti ni Mti au Jiwe
maana kila unavyoonyesha juhudi kisiki kimekaa tu kinakuangalia yani kama unakitekenya hiviii
[emoji3][emoji3]Umenikumbusha kipindi fulani nilienda kupiga kazi kwenye Site ya ujenzi, Bosi ni mhindi.
Kupandisha mfuko wa cement ghorofa ya kwanza ilikuwa kasheshe.
Nilipiga kazi siku moja, sikurudi tena. Nikasubiri siku ya malipo nikafuata 6500 yangu.
Wakuu kuna kitu inaitwa mlima, hii kitu isikie tu kwa jirani hizo sijui zege,kuchunga, kulinda zikasome
Miaka ya nyuma sana bado bwana mdogo napiga chuo cha utalii huku nikiwa najitegemea kulipa kodi ya nyumba na mahitaji mengine, hali ikawa tete zaidi nikawa nimecharara sina kitu demu wangu ambae tulkuwa nae chuo japo yeye alkuwa anasomea mambo mengine, alijua wakati ninao upitia akanipa muongozo wa kupanda mlima, hivyo akaongea na mzee mmoja anipatie nafasi ya kupanda mlima kama porter[ mbeba mizigo ]
Mambo yakatiki nikapata nafasi ya kupanda hivyo nikawa nimeshajiandaa na vifaa vyote vinavyohitajika.
SIKU YA KWANZA: tulikusanyika asubuhi mapema sana pale ofisini kusubiri coaster ya kampuni ije ituchukue kuelekea moshi kwa ajili ya kuanza safari ya kupanda mlima
Tulkuwa jumla ya wabeba mizigo/ma-porter 20 ila wawili ambae ni mm na jamaa flani tulkuwa bado ma-form one hatujawahi kupanda kabisa, Mkuu Muendelezo wa hii ndio bac tena?
[emoji28][emoji28][emoji28] kwa hyo umekimbia kazii??Mmmh 2023 hii,kuna kazi nimeiangalia tu kwa macho na kuuliza mawili matatu,nmewaambia ngoja nikachukue sururu hapa nipo mbezi natmbea kwa miguu kurudi kibaha.Kuna kazi na adhabu,hii ni zaidi ya adhabu,ukimaliza salama hela yote inaenda kuishia kwa daktrari wa masikio, Kinywa na koo.
Nikiri tu kwa kusema NDIYO.mwanaume kaumbiwa mateso ila mmh.Acha mapambano yaendelee,nimepishana na bus la kanisa moja hapa limeandikwa Efatha,nimewaza na mi nijipeleke kwenye hizo mambo .Na jua linawaka bwana.[emoji28][emoji28][emoji28] kwa hyo umekimbia kazii??
huyo jamaa muongoMke wako akijua kuna nini? Inaelekea wewe na mke wako mnaishi maisha ya kufichana na hamko wawazi. Mimi nilidhani akijua ndiyo angekuheshimu zaidi kwani wangejua ulikotoka na bidii uliyofanya.