Kazi unaitengeneza mwenyewe. Usisubiri kuajiriwa

Kazi unaitengeneza mwenyewe. Usisubiri kuajiriwa

HAKI KWA WOTE

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2022
Posts
2,783
Reaction score
2,396
Kazi unaitengeneza mwenyewe.

Kwani mafundi nyumba,viatu,matingo,wetpauza machungwa,wafyatua mayofari,wauza karanga,nk kawatafutia nani hizo kazi?

Mtaji wa masikini ni nguvu zako mwenyewe anza kidogokidogo utasimama,buni kazi upate kazi ya kufanya
 
Ukute upo kwa shemeji umeshiba zako ugali, bando lako la jero unakuja kufokea watu ...namba ya kutafuta pesa

Sio kila asie na pesa sio mtafutaji ama ni mvivu ....

Pesa zina njia zake na mbinu zake
 
Ukute upo kwa shemeji umeshiba zako ugali, bando lako la jero unakuja kufokea watu ...namba ya kutafuta pesa

Sio kila asie na pesa sio mtafutaji ama ni mvivu ....

Pesa zina njia zake na mbinu zake
Sasa hizo njia na mbinu zake kama zipo si ndiyo zifuatwe sasa,acha ujinga kabisa tumeona watu wanagonga kokoto wakianza na debe moja,mawiliatatu,nk kishaa wanainuka na kuwa na maisha,tatizo lenu ni kujibweteka ukipata 2,000/= mnakimbilia kubet mnabaki hamna kitu,amkeni gacheni kuchagua kazi na kutaka urahisi.

NO PAIN NO GAIN!
 
Back
Top Bottom