Kazi wanayofanya Gen Z nchini Kenya imetukuka. Mungu atawalipa soon. Gen Z Tanzania amkeni mjikomboe.

Hata serikali ya keny iliamini kama unavyo amini wewe na huo ujuha wako lakini alifika mahali akakamwa, vifaru sibkwa ajili ya kuwapugia raia wanao dai haki zao nyie vilaza
Utapata blood pressure bure kwa kuwaza Mambo ambayo hayapo, jaribu ww na familia yako uone
 
Tatizo siyo maandamano maana yapo kikatiba shida ni vurugu kwenye maandamano! Usiwaze kumzuia mtu kuandamana ila mkataze/mshauri kutofanya vurugu!
 
Hakuna wanachokidai kisichokuwepo Tanzania. Kwa hakika waliotakiwa kuandamana kwa wingi wao ni vijana wa Tanzania. Laiti kama wangetumia wingi wao wa kwenye Simba na Yanga kudai haki yao inayoporwa na mafisadi hakika tungekuwa na mabadiliko chanya na ya haraka.
Mkuu 'Desprospero', niseme tu katika kuunga mkono hoja zako kwenye mada uliyoweka hapa; hicho kipande nilicho kinyanyua hapo, ni kuwa kidogo wao Kenya ni nafuu kidogo kuliko sisi.
Sisi hapa tunalo genge linalo jitambulisha kuwa serikali ambalo limechukuliwa na majambazi. Kazi wanazo fanya ni kwa manufaa ya haya majambazi. Sisi tuna hali mbovu zaidi ya hao wakenya.
 
Maandamano yanayoendelea kumshinikiza Rais William Ruto kuondoka ofisini yana tija kubwa kwa Kenya na fundisho kwa Serikali ya CCM kuelekea 2025.
Wanachokiandamia ni kukithiri kwa ufisadi na maisha ya anasa ya viongozi wao hasa wanasiasa.

Vijana hao wakiwa katika lindi la umasikini lakini viongozi wao wakiogolea kwenye fedha zao sawa na yule kigogo wa TRA aliyekutwa bilioni 7 nyumbani kwake.

Hakuna wanachokidai kisichokuwepo Tanzania. Kwa hakika waliotakiwa kuandamana kwa wingi wao ni vijana wa Tanzania. Laiti kama wangetumia wingi wao wa kwenye Simba na Yanga kudai haki yao inayoporwa na mafisadi hakika tungekuwa na mabadiliko chanya na ya haraka.

Ifike mahali sasa tuanze kuwachochea vijana hawa kuondoa woga kudai haki zao na kupambana na ufisadi na mafisadi. Tuwaambie wajifunze Kenya ambako naamini hali ikiendelea hivi sitoshangaa Rais Ruto akiomba hifadhi Magogoni.

Laiti nyumbu wangejua wao ni wengi kuliko simba mmoja kamwe wasingemuogopa Simba na badala yake wangemkabili, kumshambulia na kumtimua asimdhuru hata nyumbu mmoja.
CCM NI 👉💩
 
Tatizo siyo maandamano maana yapo kikatiba shida ni vurugu kwenye maandamano! Usiwaze kumzuia mtu kuandamana ila mkataze/mshauri kutofanya vurugu!
Maandamano si mmeruhusiwa juz tu hapa na Rais wetu Dr SAMIA, kwani yalikuwepo kabla? Msitumie Uhuru vibaya
 
Maandamano yanayoendelea kumshinikiza Rais William Ruto kuondoka ofisini yana tija kubwa kwa Kenya na fundisho kwa Serikali ya CCM kuelekea 2025.
Wanachokiandamia ni kukithiri kwa ufisadi na maisha ya anasa ya viongozi wao hasa wanasiasa.

Vijana hao wakiwa katika lindi la umasikini lakini viongozi wao wakiogolea kwenye fedha zao sawa na yule kigogo wa TRA aliyekutwa bilioni 7 nyumbani kwake.

Hakuna wanachokidai kisichokuwepo Tanzania. Kwa hakika waliotakiwa kuandamana kwa wingi wao ni vijana wa Tanzania. Laiti kama wangetumia wingi wao wa kwenye Simba na Yanga kudai haki yao inayoporwa na mafisadi hakika tungekuwa na mabadiliko chanya na ya haraka.

Ifike mahali sasa tuanze kuwachochea vijana hawa kuondoa woga kudai haki zao na kupambana na ufisadi na mafisadi. Tuwaambie wajifunze Kenya ambako naamini hali ikiendelea hivi sitoshangaa Rais Ruto akiomba hifadhi Magogoni.

Laiti nyumbu wangejua wao ni wengi kuliko simba mmoja kamwe wasingemuogopa Simba na badala yake wangemkabili, kumshambulia na kumtimua asimdhuru hata nyumbu mmoja.
Baada ya miaka 10-15 huko Kenya itakuwa kama Ulaya kwa ustawi wa maendeleo na jamii.

Kenya mpaka sasa ndio nchi yenye utawala bora ktk bra aliloita Donal Trumo Pithole contries
 
Maandamano yanayoendelea kumshinikiza Rais William Ruto kuondoka ofisini yana tija kubwa kwa Kenya na fundisho kwa Serikali ya CCM kuelekea 2025.
Wanachokiandamia ni kukithiri kwa ufisadi na maisha ya anasa ya viongozi wao hasa wanasiasa.

Vijana hao wakiwa katika lindi la umasikini lakini viongozi wao wakiogolea kwenye fedha zao sawa na yule kigogo wa TRA aliyekutwa bilioni 7 nyumbani kwake.

Hakuna wanachokidai kisichokuwepo Tanzania. Kwa hakika waliotakiwa kuandamana kwa wingi wao ni vijana wa Tanzania. Laiti kama wangetumia wingi wao wa kwenye Simba na Yanga kudai haki yao inayoporwa na mafisadi hakika tungekuwa na mabadiliko chanya na ya haraka.

Ifike mahali sasa tuanze kuwachochea vijana hawa kuondoa woga kudai haki zao na kupambana na ufisadi na mafisadi. Tuwaambie wajifunze Kenya ambako naamini hali ikiendelea hivi sitoshangaa Rais Ruto akiomba hifadhi Magogoni.

Laiti nyumbu wangejua wao ni wengi kuliko simba mmoja kamwe wasingemuogopa Simba na badala yake wangemkabili, kumshambulia na kumtimua asimdhuru hata nyumbu mmoja.
Tanzania kuna GEN F. Mpira ashabikie nani ili wakaandamane.
Mzee Magoma na trend zaidi kuliko aliyesema ushindi siyo lazima kura za kwenye sanduku. This is danganyika
 
Let us reason wise, Nairobi is business center, who much the country bis losing? Hao vijana sidhani Ni mtizamo sahihi kuufuata, Mtwara wkt wa gesi tuliona madhara yake, tusifike huko
Mabadiliko yoyote huja na gharama zake ikiwemo kupoteza maisha si mali tu. Rejea mapinduzi ya Ufaransa yaliyomtoa madarakani Mfalme Luice 16.
 
Maandamano yanayoendelea kumshinikiza Rais William Ruto kuondoka ofisini yana tija kubwa kwa Kenya na fundisho kwa Serikali ya CCM kuelekea 2025.
Wanachokiandamia ni kukithiri kwa ufisadi na maisha ya anasa ya viongozi wao hasa wanasiasa.

Vijana hao wakiwa katika lindi la umasikini lakini viongozi wao wakiogolea kwenye fedha zao sawa na yule kigogo wa TRA aliyekutwa bilioni 7 nyumbani kwake.

Hakuna wanachokidai kisichokuwepo Tanzania. Kwa hakika waliotakiwa kuandamana kwa wingi wao ni vijana wa Tanzania. Laiti kama wangetumia wingi wao wa kwenye Simba na Yanga kudai haki yao inayoporwa na mafisadi hakika tungekuwa na mabadiliko chanya na ya haraka.

Ifike mahali sasa tuanze kuwachochea vijana hawa kuondoa woga kudai haki zao na kupambana na ufisadi na mafisadi. Tuwaambie wajifunze Kenya ambako naamini hali ikiendelea hivi sitoshangaa Rais Ruto akiomba hifadhi Magogoni.

Laiti nyumbu wangejua wao ni wengi kuliko simba mmoja kamwe wasingemuogopa Simba na badala yake wangemkabili, kumshambulia na kumtimua asimdhuru hata nyumbu mmoja.
Watanganyika bado tunamjadili Magoma wa Dar Young Africa.
 
Wanaogopa watakosa buku Tanotano za lumumba
 
Vijana wa tz wengi nyuma kupo wazi mkuu iyoo kazi ngumu sana kwao .......

Ili taifa tungepata wazee kama mzee Magoma
 
Tofauti..., Wanapambana kwa ajili ya maisha yao (maisha bora) na sio kuondoa kiongozi huyu ili aje yule (Big Difference)

Hapo hatujafika na huku tutafika na hapo kutakuwa hakuna kuangalia Gwanda wala Gamba..., Bali issues (Agenda sio Kubadilisha Chama bali system)
 
GenZ wa Kenya wamepora pale Kitengela na maeneo mengine naona wana safari ndefu sana ya kujifunza namna ya kufanya Maandamano ya AMANI kama sisi CHADEMA tulivyoandamana Nchi nzima kwa AMANI mpaka Wananchi wakawa wanatushangilia.
 
Maandamano yanayoendelea kumshinikiza Rais William Ruto kuondoka ofisini yana tija kubwa kwa Kenya na fundisho kwa Serikali ya CCM kuelekea 2025.
Wanachokiandamia ni kukithiri kwa ufisadi na maisha ya anasa ya viongozi wao hasa wanasiasa.

Vijana hao wakiwa katika lindi la umasikini lakini viongozi wao wakiogolea kwenye fedha zao sawa na yule kigogo wa TRA aliyekutwa bilioni 7 nyumbani kwake.

Hakuna wanachokidai kisichokuwepo Tanzania. Kwa hakika waliotakiwa kuandamana kwa wingi wao ni vijana wa Tanzania. Laiti kama wangetumia wingi wao wa kwenye Simba na Yanga kudai haki yao inayoporwa na mafisadi hakika tungekuwa na mabadiliko chanya na ya haraka.

Ifike mahali sasa tuanze kuwachochea vijana hawa kuondoa woga kudai haki zao na kupambana na ufisadi na mafisadi. Tuwaambie wajifunze Kenya ambako naamini hali ikiendelea hivi sitoshangaa Rais Ruto akiomba hifadhi Magogoni.

Laiti nyumbu wangejua wao ni wengi kuliko simba mmoja kamwe wasingemuogopa Simba na badala yake wangemkabili, kumshambulia na kumtimua asimdhuru hata nyumbu mmoja.
Ikumbukwe gen z wa kenya wameingiza hasara ya bill.6
 
Back
Top Bottom