Kazi ya Askari Kenya ya kuwapongeza

Wa kwetu wamebobea kwenye kung'ata.

Tumeona Kenya kumbe CC TV camera zinafanya kazi. Za Tanzania huwa hazifanyi kazi japo zipo nyingi tu. Si kwa Lissu wala Mo Dewji. Nchi ya viwanda hii. Bado kidogo tutakuwa "dona" kantri. Labda tuendelee kuwa "sembe" kantri.
 
Wakati wa Matukio kama haya ndio utaona Utofauti wa Wakenya na Watanzania. Hapa JF zingekuwa zimejaa Posts za Kulaumu Serikali, kutukana, kulalamikiw Uislamu, kutukana vyombo vya Ulinzi nk. Hongereni sana Wakenya na Watanzania tujifunze kuwa Utaifa ni muhimu sana katika hali yoyote. Watanzania leo wangekuwa wamejaza Posts za kutisha hata Watalii wasije Nchini bila kujali maslahi mapana ya Taifa. Lkn Wakenye wanakwambia Kenya iko Salama Kenya haina Ugaidi Wageni Karibuni. Thats Excellent.
Njooo kwa Watanzania sasa mweeeeeee!!! Wangeenda Mpaka BBC Swahili kueneza Umbea na kutia chumvi ya tukio. Tupunguze Ukasuku wa kukuza mabaya tu yanayochafua taswira ya Taifa bali tuweke mbele Maslahi ya Taifa tuikomboe Nchi yetu Kiuchumi.
 
Wakenya wanajua sababu ya hayoo yote ni kupeleka majeshi kulee Somaliaa kuwaua al shabab... Kuna Rais wetu fulani nae alitaka Kuingia kwenye huoo Mtegooo aisee angejichanganyaa tungepataa tabuu sanaa yani jamaa wasingetuacha salama hata kidogo! By the way kenya wanawaheshimu sana Polisi wao maana wanajua saa yoyote kinanukaaa sisi huku ni Ujambazi tu labdaa ndo unaweza tuogopeshaaa so hatuna hofu ya maisha kama wakenyaa ilaa Ingekuwa na sisi kuna Al shabab weeee polisi tungewaabudu sasa tz wao polisi kesi za kuua raia wasio na hatia kilaa siku wanazooo..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…