Kazi ya Askari Kenya ya kuwapongeza

Yeah! Mafunzo maalumu ndio kila kitu mkuu,n a ndio maana Tz tuna kikosi cha makomando..wale jamaa ni 'nyoko',wanakutoa 'ngebe' muda wowote ukijichanganya
Bhasi nimekuelewaa...!! Polisi wenye mafunzo maalumu... Bado point yangu inabaki bila mafunzo maalumu licha ya upolisi wa kawaida hapo ni kisangaa...

Sent using Jamii Forums mobile app

5/5.
 
Ingekuwa bongo maafa yangekua makubwa zaidi
Mkuu ukiipenda nchi yako huwezi kuiwazia hivyo,Ukiona/ukiisi kitu hakipo sawa kitolee taarifa Kwa vyombo husika au kiombee Kwa imani yako ili kiwe kizuri kutufaa taifa,Wewe ndie Mlinzi wa kwanza wa nchi yako,WAZA MEMA,TAMKA MAZURI,TENDA MAZURI,Nchi itakuwa salama nawe utakuwa salama.
 
Mkuu naomba mrejesho kuhusu amani huko kibiti then rejea hapa uje uniulize ili swali lako.
Kule kibiti walienda na ndio maana amani imerejea.

5/5.
KIBITI walienda kumaliza wanajeshi na sio hao askari sjui wabobezi
 
KIBITI walienda kumaliza wanajeshi na sio hao askari sjui wabobezi
Mkuu sipo kushindana ila nipo kuelewesha tu.Tambua kuwa kiprotoko polisi ni junior kwa Jw so sehemu yeyote jwtz akiongeza nguvu lazima itaonekana jwtz ndio walio fanikisha lakini la hasha kilichofanywa kibiti naomba tu ibaki siri maana mi sio askari.

5/5.
 
KIBITI walienda kumaliza wanajeshi na sio hao askari sjui wabobezi

Hata ukiambiwa huwezi elewa ndugu,wanajeshi wamekuwepo kibiti mapema mno na hao askari,kawaulize wananchi wa kibiti wameanza kulazwa saa 11 jioni lini??
 
Pamoja na hilo umeona Wakenya Wakipost matusi kutukana Serikali yao?? Umeona Wakisambaza Umbea unaotisha jamii ya Kimataifa?? Tujipime akili zetu ktk hayo
Haya malalamiko yako peleka kituo chochote cha polisi kilicho karibu na unapoishi.
Tutafute cha chanzo tatizo, sio unakimbilia kutatua juu juu.
 
Fanya jambo jema, kwa roho safi bila upendeleo, walaah kila mtu atakushukuru na pia Kwa Mola wako utakuta thawabu ya mema yako. Huwezi fanya dhuluma (kwa wazi au kificho au kwa hila) halafu utegemee kupigiwa vigelegele.... Uuwe watu kwa hila, ujeruhi, uwafunge /weka ndani kwa hila, weka sheria kandamizi kwa mabavu au kwa ghilba etc, etc etc halafu utegemee ikitokea la kutokea upigiwe makofi [emoji849][emoji849][emoji849]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pamoja na hilo umeona Wakenya Wakipost matusi kutukana Serikali yao?? Umeona Wakisambaza Umbea unaotisha jamii ya Kimataifa?? Tujipime akili zetu ktk hayo
Umeshaona Wakenya wakimmininia mbunge wao risasi magazine nzima? Halafu bunge likatae kumtibu? Umeshaona wakimuita CAG wao kwa pingu? Umeshaona matrafiki wao waking'ata meno dereva?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umeshaona Wakenya wakimmininia mbunge wao risasi magazine nzima? Halafu bunge likatae kumtibu? Umeshaona wakimuita CAG wao kwa pingu? Umeshaona matrafiki wao waking'ata meno dereva?

Sent using Jamii Forums mobile app
Unamjua Mhe. DR. ENOCH EBUNGU, kamuuulize Alimiminiwa Risasi ngapi. RIP dereva wake. Waaambie hao unaowaaabudu waache kutumika na Magabachori kama toiler paper wataendelea kutenguliwa nyonga na vihera vyote wanavyowahongwa viiishie kulipia matibabu. Mshahara wa Uhaini/dhambi ni upi vile??
 
Umeshaona Wakenya wakimmininia mbunge wao risasi magazine nzima? Halafu bunge likatae kumtibu? Umeshaona wakimuita CAG wao kwa pingu? Umeshaona matrafiki wao waking'ata meno dereva?

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu,wewe ni mduwanzi sana. Hawa watu wanaweka nafsi zao in the line of fire to save your ass. Much respect to brother and sisters in the uniform (police and army)
 
Mkuu hamia huko!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kumbe tatizo lako ni kubwa kuliko nlivyodhania.ni mchanganyiko wa kukosa elimu,stress, kukosa malezi bora, kukosa akili na tatizo la makuzi.kwa mambo hayo siwezi kukulaumu. Nmesikitika tu kuwa nawe kuna watu wanasema tuna mtoto.ikiwa wanatambua uwepo wako.otherwise Mungu tu akusamehe.maana hujui usemalo.

Kwani wewe ndie Mmarekani? mbona unatoa povu utadhan UmberRutty yuko Kisutu! Nenda kasome upya page za Us Embassy urudi tena.
 
Kwani hapa Tanzania ni nani anayeharibu utaifa? Maana watanzania walisifika duniani kote kwa swala hili la uzalendo na utaifa, kwanini sasa hivi kuanze kuonekana kuna kasoro?
Sababu ni ninyi kujifanya mnajua jua kila kitu siku hizi,, sijui uhuru wa nini sijui maandamano sijui mara ukuta umefanya je.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…