Kazi ya jaji ni ngumu kwa mujibu wa uislamu

Kazi ya jaji ni ngumu kwa mujibu wa uislamu

Malaria 2

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2023
Posts
9,722
Reaction score
15,117
Mtume (SAW) alisema:

"Majaji wako wa aina tatu: mmoja ataingia Peponi na wawili wataingia Motoni. Yule aliyejua haki na akaihukumu kwa haki, huyo yuko Peponi. Yule aliyefanya hukumu bila elimu, yuko Motoni. Na yule aliyepindisha hukumu kwa makusudi, naye yuko Motoni."
(Hadith - Abu Dawud na Ibn Majah)
 
km hawa wa ccm wanapindisha haki kwakupewa maagizo toka juu kwnye kesi ya lisu
 
Back
Top Bottom