King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Huyo ulitakiwa umpige KERBU moja matata sana akili imkae sawa ,unalipwa 8m Tsh Per Month na bado unalia njaa? Ana Opportunity ya kuchukua Mkopo wa 200m na kuulipa ndani ya miaka mitano na bado akikatwa anabakiziwa 4.5m.Wakuu,
Leo miemkutana na mwanangu hapa Arusha , ambae mshahara wake ni 8 tsh milioni lakini vilio ni vingi.
Nimegundua hata uajiriwe wapi na ulipwe mshahara kiasi gani huwezi kua tajiri.
Jamaa anaingia saa 12 alfajiri kazini anatoka saa 11 jinoni lakini tumekutana analia shida.
Sisi waajiriwa tuwe makini hauwezi kua tajiri kwa Ajira labda ujiongeze zaidi.
Tofauti na hapo utakufa maskini kwani jamaa na mshahara wake mkubwa bado analia maisha magumu na haeleweki kuanzia vaa yake na mambo mengine.
Tuwe makini ni tahadhari tu
200m anaweza kufanya biashara nyingi tu ambazo hazitoathiri kazi yake.