Twinawe
JF-Expert Member
- Oct 3, 2016
- 2,431
- 5,336
Maharage chande sio tajiri?Hakuna tajiri aliyeajiriwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maharage chande sio tajiri?Hakuna tajiri aliyeajiriwa
Utajiri gani alio nao?Maharage chande sio tajiri?
Kuwa tajiri hakuwezi kukufanya usiajiriwe.Wakuu,
Leo miemkutana na mwanangu hapa Arusha , ambae mshahara wake ni 8 tsh milioni lakini vilio ni vingi.
Nimegundua hata uajiriwe wapi na ulipwe mshahara kiasi gani huwezi kua tajiri.
Jamaa anaingia saa 12 alfajiri kazini anatoka saa 11 jinoni lakini tumekutana analia shida.
Sisi waajiriwa tuwe makini hauwezi kua tajiri kwa Ajira labda ujiongeze zaidi.
Tofauti na hapo utakufa maskini kwani jamaa na mshahara wake mkubwa bado analia maisha magumu na haeleweki kuanzia vaa yake na mambo mengine.
Tuwe makini ni tahadhari tu