Kazi ya kuajiriwa haiwezi kukufanya uwe tajiri

Huyo ulitakiwa umpige KERBU moja matata sana akili imkae sawa ,unalipwa 8m Tsh Per Month na bado unalia njaa? Ana Opportunity ya kuchukua Mkopo wa 200m na kuulipa ndani ya miaka mitano na bado akikatwa anabakiziwa 4.5m.

200m anaweza kufanya biashara nyingi tu ambazo hazitoathiri kazi yake.
 
Pesa haijawahi kutosha.....

Ila pia kuishi bila mipango hata ulipwe bilioni utakua wa kulalamika tu.
Kumbuka una amka saa 11,unatakiwa saa 2 uwe kwenye ajira yako,kutoka ni saa 11 umetumika ki sawa sawa,ukitoka hapo mpaka ufike kwako saa 2 usiku,hiyo mipango yako unaifanya saa ngapi ili ikutoe.Ndio maana ukimuona mtu tajiri na alikuwa kaajiriwa huyo lazima ni mwizi au fisadi,kinyume cha hapo ni next to impossible.Mkumbuke hapa tunazungumzia kuwa tajiri,sio kuwa na vijumba na kigari halafu ukasema wewe ni tajiri....
 
Tajiri anatakiwa awe na nini?
 
Cha kwanza huyo atakuwa yuko single hawezi kuwa na akili. Tunakubali mshahara hautoshi lakini unalipwa shillings ngapi? 8m ni uwongo akili hana tu.
 
Wakati mwingine mnachekesha sana; Director General wa mgodi wa GGM ameajiriwa, vp ni masikini? Au wewe kuajiriwa unajua kuwa ni kufanya kazi Serikali ya Tanzania.
Unaelewa utajiri unaozungumziwa hapa?
 
Kwani nani kakwambia anataka kua tajiri?! Acha ujuaji
 
Wewe ukiwa tajiri inatosha hata Mungu hakushindwa kuwafanya Wote wawe mabilionea Kwa hiyo Kaa Kwa adabu na utajiri wako.🙄
 
Wakati mwingine mnachekesha sana; Director General wa mgodi wa GGM ameajiriwa, vp ni masikini? Au wewe kuajiriwa unajua kuwa ni kufanya kazi Serikali ya Tanzania.
Watu kama Hawa wanasikitisha. Wengi unakuta exposure aliyonayo ni ya Kuja Dar Tena anafikia Buza Kwa kiboko ya wachawi anarudi. Kuchunga mbuzi.
 
Sema mshahara sio kazi.
 
Hili tumeshalisikia Sana, tunataka kusikia kitu kipya...!
Sote tunajua Mshahara haumfanyi Mtu kuwa Tajiri, the what is next....!?
 
Chai, mshahara wa mtu ni siri na uache kimbele front kufatilia maisha ya watu.. unaamin vp hyo salary labda kaongeza 0? Na ata kama analipwa hvo ndo upunguze shobo waza yako fikiria unafikishaje japo nusu ya hyo figure.
 
nyumba mbili ni utajili boss.. hv unajua kutoboa wewe
 
mshahara ml 8 supervisor tu upande wa kampuni kubwa za drilling tz ambaye ni mzawa anakuja hyo na ukimuoana huwezi zania...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…