Johnie2323
JF-Expert Member
- Dec 12, 2024
- 304
- 298
Nafuatilia tu
Tunakoelekea ni kubaya zaidi kiongozi huenda tukaishia njiani uwezo wa kufikiri umekuwa chini sana, akili na nguvu vyote tumevielekeza kufukunyuana tu, Siyo bosi wala mwajiriwa, Siyo Tajiri wala kapuku, Siyo mheshimiwa wala raiaNdio jamii yetu ndugu, weka uzi wa masuala ya ngono na entartainment zingine uone wadau wakijaa. Ila tutafika tu
Tena kubaya sana, tuombe Mungu mabo yasiende kombo kwa vizazi vyetu vijavyoTunakoelekea ni kubaya zaidi kiongozi huenda tukaishia njiani uwezo wa kufikiri umekuwa chini sana, akili na nguvu vyote tumevielekeza kufukunyuana tu, Siyo bosi wala mwajiriwa, Siyo Tajiri wala kapuku, Siyo mheshimiwa wala raia