L ldleo JF-Expert Member Joined Jan 9, 2010 Posts 1,116 Reaction score 1,121 Feb 25, 2022 #1 Kuanzia tarehe 21 hadi tarehe 28 mwezi huu, Beijing itaendelea na kazi ya kubadilisha mandhari ya mji iliyopangiliwa kwa ajili ya Michezo ya Olimpiki ya Majira ya Baridi ya Beijing kuwa kwa Michezo ya Olimpiki ya Walemavu ya Majira ya Baridi.
Kuanzia tarehe 21 hadi tarehe 28 mwezi huu, Beijing itaendelea na kazi ya kubadilisha mandhari ya mji iliyopangiliwa kwa ajili ya Michezo ya Olimpiki ya Majira ya Baridi ya Beijing kuwa kwa Michezo ya Olimpiki ya Walemavu ya Majira ya Baridi.