Kila la kheri kwenye harakati zako!Mambo vipi wakuu natafuta kazi zile za chap chap kama vile kufyeka nyasi naondoka na hela, kufua nguo za kike na za kiume imladi umeshaziloweka na sabuni ya unga nakuja nafika nafua fasta unanilipa kiasi tulichokubaliana nasepa,
Nafanya usafi vyooni kama kukiweka safi kila siku kiasi tunakubaliana, napalilia na kuondoa majani uwanja wako,
Napatikana MUSOMA WAKUU mi jinsia ME naomba msaada wenu
Duh I Cried because I had no Shoes Until I saw someone with no Feet....;Wakuu kazi sipati humu nipo oline wakuu nashida njaa Leo basi mnitupie kwenye namba yangu 5k nikale kazi hamtaki kunipa😔
Mkuu sijui kingereza naomba unisaidie kwa kiswahiliDuh I Cried because I had no Shoes Until I saw someone with no Feet....;
Mkuu sijui kingereza naomba unisaidie kwa kiswahili
Napo inawezekana mkuu nakuja kukaa Moja kwa Moja kazi zangu zinakuwa ni maswala ya usafiSasa nikutoe Musoma uje kunifulia huku mbeya kweli mkuu?
Sina ndugu huko mkuu, ntafikia kwa nani?Hamia dar
Kunguru wanasidiana japokua ni waoga ila wana umoja sio wa kawaidaSina ndugu huko mkuu, ntafikia kwa nani?
Fafanua kidogo mkuu sijaelewaKunguru wanasidiana japokua ni waoga ila wana umoja sio wa kawaida