Kazi ya kufua na kufyeka nyasi nafanya

Kazi ya kufua na kufyeka nyasi nafanya

Leo weekend wakuu hakuna mwenye nguo Wala kazi mbalimbali nifanye Leo jua Musoma halipo wakuu nguo zitakaukaje au imladi nifue tu nianike😁🤣 utajua wewe uvae mbichi
Mwanaume unatakiwa kutafuta kazi ya kubeba zege. Hayo mambo ya kufua nguo waachie akina mama.

Mimi mzee wako hapa mpaka leo ninabeba kirungu na kwenda kulinda usiku kila siku! Halafu wewe kijana unapambana kutafuta nguo za kufua? Unawaangusha watu wa Mara.
 
Kazi Available yani work is available
 
Work is available and pm me why gossip you guys
 
Please help me guys I'm not a bad guy 😢🥹
 
I'm work kipindi hiki sun ☀️ is real
 
Back
Top Bottom